Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.55K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MBOSSO | MAMBO 10 USIYOFAHAMU
#mbosso #wasafi #wcb
Kupitia episode hii tutaangazia safari ya maisha ya marombosso hadi kuwa Mbosso Khan mwenye mafanikio kede

0:00​ | Introduction
0:57​ | Historia ya Mbosso
1:39​ | Ndoto yake katika soka (mpira wa miguu)
2:17​ | Mkubwa fella alivyomnyanyua Mbosso
3:07 | Kusambaratika kwa yamoto band Aslay,Beka Flevour na Enock
3:41 | Uhusiano wa Mbosso na Rayvanny
4:31​ | Rayvanny apigiwa debe na Mbosso?
5:20​ | Documentary ya Life of Mbosso (Historia ya Maisha ya Mbosso)
6:32 | Mbosso tatizo lake la kiafya la kutetemeka
7:15​ | Dili nono alilosaini Mbosso na Samsung Tanzania
7:52​ | Mbosso anajiita mbosso khan, Kwanini?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
TeknoKona (Facebook)

Elephant walk ni msemo unaotumika na USAF wakati wa kupaki ndege za kijeshi kwa kufuatana kabla ya kupaa, zinapokuwa katika mpangilio wa karibu. Soma makala hii kufahamu zaidi

https://zcu.io/I2OF
TeknoKona (Facebook)

Zifahamu programu muhimu kuwa nazo kwenye kompyuta yako kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/894N
TeknoKona (Facebook)

Kuna app nyingi za kueditia picha lakini hizi ni bora zaidi. Soma makala hii kufahamu zaidi

https://zcu.io/HpuT
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 10 Februari, 2022💥💥💥

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

TOFAUTI YA 4G, LTE NA H+ NI IPI?
Mitandao ya simu badala ya kutangaza huduma zao kama ‘4G’, wanatumia maneno kama H+ na 4G LTE na mengineyo. Kwa nini hawakuweza kuita huduma zao ‘4G’ per se? Je, 'LTE' ni bora kuliko '4G'? au 4G na ‘4G LTE’ ni kitu kimoja?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

TOFAUTI YA 4G, LTE NA H+ NI IPI?
Mitandao ya simu badala ya kutangaza huduma zao kama ‘4G’, wanatumia maneno kama H+ na 4G LTE na mengineyo. Kwa nini hawakuweza kuita huduma zao ‘4G’ per se? Je, 'LTE' ni bora kuliko '4G'? au 4G na ‘4G LTE’ ni kitu kimoja?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
TeknoKona (Facebook)

Njia gani ni rahisi kwako kufanya malipo kwenye ulimwengu huu wa sasa?
TeknoKona (Facebook)

Kodi ya kwenye mtandao polepole yaanza kusogea kwa wananchi.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Fahamu Kwamba…! Chaneli zote za Televisheni zinazotazamwa bila kulipia, sasa zinaoneshwa kwenye Visimbuzi vyote Nchini, kufuatia maboresho yaliyofanyika kwenye Kanuni za Utangazaji wa kidijiti na Kanuni za Leseni.
TeknoKona (Facebook)

Kampuni ya Uber inatoa huduma mbalimbali ikiwemo huduma za Uber Connect na Uber Direct. Kufahamu zaidi kuhusu huduma hizi soma makala hii.

https://zcu.io/0znz
TeknoKona (Facebook)

Samsung yaweka wazi kuhusu simu janja zitakazopokea masasisho hadi kufikia Android 16.
TeknoKona (Facebook)

Changamoto ya lugha isikuzuie kutumia huduma za mtandaoni. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://zcu.io/e2od
TeknoKona (Facebook)

Usiache kusoma sera ya faragha ya programu unazotumia ili kujihakikishia usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi. https://zcu.io/1Zvw