Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tunakupongeza Mheshimiwa Nape Nnauye kwa Kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tunakupongeza Mheshimiwa Dkt. Jimmy Yonazi kwa Kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
A SATISFYING JOB THAT IS INTERESTING TO WATCH
https://www.youtube.com/watch?v=ODUgLteV_Vo
TeknoKona (Facebook)

Fahamu jinsi ya kuhamisha taarifa zako kutoka kwenye simu moja kwenda simu nyingine kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/0nPR
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu sababu mbalimbali zinazoweza kukufanya ununue au usinunue simu janja za iPhone.

https://zcu.io/gazA
TeknoKona (Facebook)

Mpangilio mzuri wa mafaili hupelekea wepesi wa kufanya kazi. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Hamisha mafaili kutoka kwenye kompyuta yako kwa kuzingatia usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Kuna sababu nyingi zinazoweza kukufanya utake ku "Reset" simu janja yako. Soma makala hii uweze kufahamu njia 3 tofauti za kufanya hivyo.

https://zcu.io/PGO2
TeknoKona (Facebook)

Unawezaje kujua kama maongezi yako ya kwenye simu yanafuatiliwa? Soma makala hii uweze kufahamu

https://zcu.io/gw1i
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tunakupongeza Mheshimiwa Dkt. Jim Yonazi kwa Kuteuliwa na Kuapishwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tunakupongeza Ndg. Mohammed A. Khamisi kwa Kuteuliwa na Kuapishwa kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.