Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.56K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KIMONDO KINAKUJA KUIANGAMIZA DUNIA?
Tabiri za watu mbalimbali zinadai kwamba kuna Kimondo au sayari ndogo yaani asteroid inakuja kugongana na dunia mwaka huu, yaani kwa lugha rahisi 2022 ndiyo mwisho wa dunia.Ni kweli?
TeknoKona (Facebook)

Tumia simu yako kistaarabu kwa kuzingatia usalama wa afya yako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Unapofanya malipo mtandaoni unatumia kadi yenye huduma zipi za malipo?
1. Visa
2. Mastercard
TeknoKona (Facebook)

Kama ilivyo kwenye mitandao mingine ya kijamii na WhatsApp pia unaweza kuifuta akaunti yako. Soma makala hii kufahamu zaidi

https://zcu.io/niN5
TeknoKona (Facebook)

Kuna app nyingi za kuedit picha kwa watumiaji wa Android na iPhone, Soma makala hii uweze kufahamu baadhi ya hizo app.

https://zcu.io/Ozsq
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

STAR WA 'DEADLY PREY' ALIPOTELEA WAPI?
#DeadlyPrey #TedPrior
Kipindi cha VHS moja ya movie ya action pendwa kutoka Hollywood ilikuwa ni Deadly Prey iliyochezwa na muigizaji mwenye misuli na utata kama Rambo aitwae Ted Prior na mtaani kabatizwa jina la Komando kachupi au Komando Kipensi 🤣🤣
Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
TeknoKona (Facebook)

Unapozima na kuwasha simu yako inasaidia kurekebisha mambo mbalimbali ikiwemo kupatikana kwa mtandao. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Hakikisha unatenga muda kusafisha kifaa chako cha kielektroniki ili kuzuia hitilafu ndogo ndogo kutokea. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Samsung Galaxy A2 Core ni simu janja yenye sifa za kipekee. Soma makala hii uweze kuzifahamu

https://zcu.io/HD7w
TeknoKona (Facebook)

Unawezaje kuitambua memori kadi feki? Soma makala hii uweze kufahamu.

https://zcu.io/k6fD