Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuifahamu simu janja ya iPhone XS Max kwa undani.

https://zcu.io/uoZ7
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu jinsi ya kuzuia matangazo kwenye simu janja yako ya Android.

https://zcu.io/4TcR
TeknoKona (Facebook)

Matumizi ya simu wakati unaendesha chombo cha moto hukupunguzia umakini na kuweza kusababisha ajali, Chukua Tahadhari. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Matumizi ya mtandao hayana kikomo lakini kwa upande wa kujiburudisha wewe unatumia tovuti zipi za mtandaoni kujiburudisha?

1. Tovuti za movie 2. Tovuti za mziki 3. Tovuti za Magemu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWANINI SPIDERMAN WANABADILISHWA?
Spider-Man, AKA Peter Parker, ni mmoja wa character wanaopendwa zaidi katika Ulimwengu wa Sinema wa Marvel. Sasa, kukiwa na waigizaji wengi ambao wamecheza nafasi ya Spiderman, Tobey maguire, Andrew garfield na hivi majuzi zaidi na mwigizaji Tom Holland, filamu za Spider-Man ni mojawapo ya filamu zinazoongoza katika mauzo ya tiketi sinema.Lakini swali linakuja, Kwa nini Spiderman wanabadilika badilika?
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tunakupongeza Mheshimiwa Nape Nnauye kwa Kuteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tunakupongeza Mheshimiwa Dkt. Jimmy Yonazi kwa Kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
A SATISFYING JOB THAT IS INTERESTING TO WATCH
https://www.youtube.com/watch?v=ODUgLteV_Vo
TeknoKona (Facebook)

Fahamu jinsi ya kuhamisha taarifa zako kutoka kwenye simu moja kwenda simu nyingine kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/0nPR
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu sababu mbalimbali zinazoweza kukufanya ununue au usinunue simu janja za iPhone.

https://zcu.io/gazA
TeknoKona (Facebook)

Mpangilio mzuri wa mafaili hupelekea wepesi wa kufanya kazi. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Hamisha mafaili kutoka kwenye kompyuta yako kwa kuzingatia usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/