Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.6K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWANINI WANAWAKE WANAISHI MIAKA MINGI KULIKO WANAUME?
Je wajua kuwa wanawake wanaishi miaka mingi zaidi kuliko wanaume? well leo kupitia episode hii ya Newzfid nakwenda kukupa sababu zilizopelekea kuwepo kwa pengo hilo baina ya wanawake na wanaume
TeknoKona (Facebook)

OnePlus inatarajia kutoa simu janja mpya ya OnePlus 10 Pro hivi karibuni. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/t8lH
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu maboresho yaliyofanyika kwenye App ya WhatsApp katika kipengele cha kuripoti malalamiko.

https://zcu.io/0D1L
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - BAMBO LA MTAA! | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii, tarehe 6 Januari, 2022πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

Ni kupitia chaneli ya Clouds Tv, kuanzia saa mbili na nusu usiku (2:30).
USIKOSE!
TeknoKona (Facebook)

Changamoto ya lugha isikuzuie kutumia huduma za mtandaoni. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Usiache kusoma sera ya faragha ya programu unazotumia ili kujihakikishia usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Wasiliana na Dawati la Huduma la TCRA kwa kupiga simu bila malipo kupitia namba 0800008272 au kupitia Baruapepe: dawatilahuduma@tcra.go.tz au helpdesk@tcra.go.tz

Karibu Tukuhudumie!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

maajabu ya Google translate watu wengi Hawayajui 2022
fahamu maajabu ambayo yanapatikana kwenye google translate ila watu Hawayajui kama wanaweza kuyafanya kupitia simu au kompyuta ✍️

1. intro of the video 0:40

2. maajabu ya Google translate
3. (a) better understanding your language
(b) translate your documents
(c) listen to translate
(d) translate any website to any language
(e) listen to translation

unaweza kuingia kwenye google translate kupitia link hii hapa πŸ‘‡πŸ‘‡

google.translate.com

au download πŸ‘‡
play store
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.apps.translate&hl=en&gl=US&auao=false&referrer=utm_source%3Dgoogle%26utm_medium%3Dorganic%26utm_term%3Dgoogle+translate+apk&pcampaignid=APPU_1_6HzYYbq0FtGYsAehtYC4BQ

app store
https://apps.apple.com/us/app/google-translate/id414706506
MODERN ALL-TERRAIN VEHICLES OF THE NEXT LEVEL
https://www.youtube.com/watch?v=fh4SE_wwkMU