Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.6K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

RUGER | MAMBO 10 USIYOFAHAMU
#Ruger #Dior
Ruger, msanii mpya ya Nigeria mwenye sound ya kipekee ya Afro-dancehall, ni msanii ambae kwa hapa Tanzania tangu mwezi uliopita amekuwa akitafutwa sana hasa ulwe wimbo wake mpya wa Dior

0:00​ | Introduction
0:58​ | Historia ya Ruger
1:40​ | Msoto wa maisha
2:22​ | Kuvumbuliwa mtandaoni na D'Prince
3:13 | Jonzing World Ruger na Rema
3:49 | Jina la 'Ruger' lilikujaje?
4:22​ | Kutanga tanga bila mafanikio kama Rema
4:51​ | Ruger ana upofu wa jicho moja?
5:41 | Ruger vs Rema
6:31​ | Ruger Bounce vs Rema Bounce
7:27​ | Mziki wa Ruger ni sawa na Patoranking
TeknoKona (Facebook)

Chukua tahadhari kwa kuzima swichi za umeme unaposafiri ili kulinda vifaa vyako vya kielektroniki. Tembelea tovuti vetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Hakikisha unazifuta akaunti zote za mtandaoni ulizoacha kutumia ili kulinda usalama wa taarifa zako. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
App Lock Lite.apk
7.6 MB
App Lock Lite.apk

uploaded by 1381922510
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Matumizi sahihi na stahiki ya TEHAMA yatatuwezesha kufikia azma ya Maendeleo endelevu; tuitumie TEHAMA kuchagiza ukuaji wa uchumi wetu.

#2022yakidijitali
TeknoKona (Facebook)

Kampuni ya Apple imekuwa kampuni ya kwanza kupata hesabu ya soko la hisa ya $3tn. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/64dP
TeknoKona (Facebook)

Kutokana na sababu mbalimbali za kiusalama kampuni za simu nchini Marekani zimekubali kuchelewesha utoaji wa huduma za 5G. Soma makala hii kufahamu zaidi.

https://zcu.io/g7yI
TeknoKona (Facebook)

Unatumia njia gani kufunga simu janja yako? Pin au Pattern? Soma makala hii uweze kuzifahamu njia hizi kwa undani zaidi.

https://zcu.io/befh
FEW PEOPLE HAVE SEEN HOW OIL IS EXTRACTED IN THE OCEAN
https://www.youtube.com/watch?v=VuIgYz3OKAQ
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mheshimiwa Amour Hamil pamoja na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Wizara hiyo Dkt. Mzee Mndelwa ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi TCRA, watembelea banda la maonesho la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) lililopo kwenye viwanja vya Maisara, Unguja kwenye maonesho ya Biashara yanayoenda sambamba na maandalizi kuelekea Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar ambayo kilele chake ni tarehe 12 Januari 2022.

Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi tarehe 2 Januari, 2022 na yanatarajia kufikia tamati ifikapo tarehe 15 Januari, 2022.
TeknoKona (Facebook)

Tumia kava la ziada kulinda simu janja yako isichakae mapema. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
TeknoKona (Facebook)

Kuna majukwaa mengi unayoweza kutumia kuperuzi mtandaoni. Wewe unatumia jukwaa lipi kati ya haya? 1. Google 2. Bing 3. Yandex 4. Yahoo Tembelea tovuti yetu kufahamu zaidi kuhusu majukwaa haya https://teknolojia.co.tz/