Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.6K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

WADUDU HATARI DUNIANI
Leo tunakwenda kuangalia wadudu 5 hatari duniani...ingawa siwataji kimpangilio mdudu wa mwisho kumtaja bila ubishi ndiye mdudu hatari zaidi duniani
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Maujanja: Jinsi ya kuingia kwenye Dark web || how to Access on dark web using smartphone & PC
Leo nimekuletea njia rahisi ya kuweza kuingia kwenye dark web mtandao ambao NJ hatari sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia.

Kuna mambo mengi ya siri yanafanyika huko moja wapo Ni kuuza viungo vya binadamu , sumu , utekaji , mauaji ya kutumwa , kula nyama za binadamu wenzako , jinsi ya kuita mapepo na nk

endelea kufuatilia chaneli Yetu nitawaletea Website ( Tovuti hatarishi zilizopo kwenye dark web )

we fanya ku subscribe kwenye chaneli Yetu

hii video ni kwa ajili ya Elimu TU ukitumia ndivyo sivyo ✍️ hatuhusiki na chochote sio mtandao mzuri wa kutembelea πŸ•ΈοΈ

teknolojia ni Yetu sote

usisahau ku subscribe likes & share kwa video zingine

join group letu la telegram πŸ‘‡

https://t.me/bongoTechs255