Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.6K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Matumizi sahihi na stahiki ya TEHAMA yatatuwezesha kufikia azma ya Maendeleo endelevu; tuitumie TEHAMA kuchagiza ukuaji wa uchumi wetu.
#uchumiwakidijitali
TeknoKona (Facebook)

Fahamu jinsi ya kulitunza jokofu lako kwa kusoma makala hii

#Teknolojia https://zcu.io/zGkb
TeknoKona (Facebook)

Sarafu ni App ya Azam inayomuwezesha mteja kununua na kufikishiwa bidhaa dukani kwake kwa njia rahisi. Soma makala hii kufahamu zaidi.

#Teknolojia https://zcu.io/nnGi
MEGAPROJECT TO SAVE VENICE WORTH $7 BILLION
https://www.youtube.com/watch?v=r1xj40kZ_Gs