Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.6K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Ukuaji wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ni fursa ya kukuza uchumi; tuitumie kwa manufaa ya sasa na baadae.
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu uwezo na sifa za simu janja ya Oppo A31.

https://zcu.io/qcEa
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu kuhusu teknolojia ya Mi Air Charge inayokuwezesha kuchaji simu bila kutumia waya.

https://zcu.io/VFd5
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

SAMAKI HUYU ANATEMBEA NCHI KAVU
Je wajua kuwa Samaki huyu wa maajabu ana uwezo wa kutembea nchi kavu?
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ya kuset Low power Mode Bila kushika simu yako na hii itakusaidia kutunza chaji ya simu yako #sanuka #kitaanikwetu #simukitaa #faham #bongo
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

fahamu Wizi wa Mtandaoni kwa kutumia kadi || hacking with carding ni hatari
carding hacking ni Card Ya Mkopo Ambayo Muhalifu Au Tapeli Uitumia Kwenye Kufanya Malipo Yaliyo Na U Fake Ndani Yake Kwa Kununua Vitu Mtandaoni.

hii ni njia hatari ambayo ukienda kwenye deep web au dark web utaikuta

endelea kufuatiliq chaneli yetu utajifunza zaidi 👇

subscribe for more videos