Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.61K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Tutumie Mawasiliano Kujiletea Maendeleo.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Wanafunzi kutoka shule za Sekondari za St. Joseph, Mandera, Twiga, na Kiraeni katika ziara ya masomo kwenye Makumbusho ya Mawasiliano yaliyopo ofisi za TCRA Makao Makuu Dar es Salaam. Ziara hiyo ya mafunzo imefanyika Jumatano 22 Desemba 2021. Makumbusho ya Mawasiliano inatunza kumbukumbu za mawasiliano kabla, wakati na baada ya Uhuru wa nchi yetu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mitandao ya kijamii inazo fursa lukuki zenye manufaa katika ukuzaji uchumi na maarifa; tuzitumie kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadae.
“Tutumie...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JIHADHARI: Picha hizi ni hatari kuwa nazo kwenye simu yako
Kuna baadhi ya picha tunaziweka kwenye simu zetu bila kujijua lakini ni hatari kuwa nazo hivyo jihadhari nazo

Kuna virusi ambaye anaweza kukuibiwa vitu vyako 🔪

usisahau ku subscribe 😊