Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

Kupitia simu janja unaweza kupanga namba za watu wako wa karibu kupigiwa unapopata dharura. Tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inashiriki kwenye Maonesho ya 6 ya Biashara na Viwanda yanayofanyika Zanzibar katika viwanja vya Maisara.

Maonesho hayo yalifunguliwa rasmi tarehe 6/12/2021 na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Mheshimiwa Hemed Suleiman Abdalla: yatahitimishwa tarehe 9/12/2021. TCRA inawakaribisha wakazi wa Zanzibar na Watanzania wote kutembelea viwanja vya Maisara na kufika kwenye banda la TCRA kujipatia Elimu kuhusu Sekta ya Mawasiliano. Kauli Mbiu: โ€œTumia Bidhaa za Tanzania, Jenga Tanzania โ€œ.
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kuzifahamu simu janja zinazotengenezwa nchini Rwanda.

https://teknolojia.co.tz/rwanda-wazindua-simu-zake-janja-mbili/
TeknoKona (Facebook)

Soma makala hii uweze kufahamu App za kuondoa kwenye simu janja yako ili kulinda usalama wa taarifa zako.

https://teknolojia.co.tz/usalama-apps-za-kuziondoa-kwenye-simu-yako-adware-matangazo/
TeknoKona (Facebook)

Sayansi inavyotusaidia kupambana na virusi vya Corona.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

KUMBUKA! Ni kosa Kisheria kupiga, kurekodi au kusambaza picha mnato au jongevu (video) chafu, zisizo na maadili kwenye Jamii.

#SambazaMchongoNaSioUongo
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

NYUMBA YA RIHANNA | HOUSE TOUR
#rihanna #house
Leo tutafanya house tour ya msanii na mfanyabishara mashuhuri Rihanna aka Riri..
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

NAMNA YA KUFUNGUA SIMU YAKO (KUTOA PASSCODE) KWA KUTUMIA SAUTI BILA KUSHIKA SIMU. #Sanuka #simukitaa #ijuesimuyako #kitaanikwetu #fahamu #bongo #dsm
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Tunauza Simu , Kutengeneza Na kutoa ushauri kuhusu matumizi mazuri na sahihi ya Simu yako!! #Sanuka #simukitaa #ijuesimuyako #fahamu #kitaanikwetu #tz
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Simukitaa (TikTok)

Namna ambayo simu yako itakukumbusha message zilizo ingia kwa simu yako hata kama hukuiona #Sanuka #simukitaa #ijuesimuyako #fahamu #kitaanikwetu #tz