Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
TeknoKona (Facebook)

IBM ni moja kati ya kampuni zinazazomiliki Super Computer nyingi duniani, Kwa maelezo zaidi soma makala hii.

https://teknolojia.co.tz/super-computer-na-matumizi-yake/
TeknoKona (Facebook)

Virusi vya kwenye simu au kompyuta vinaweza kufuta, kuharibu au kuvuruga taarifa ulizohifadhi kwenye kifaa chako. Chukua tahadhari kwa kupakua programu maalum za kupambana navyo. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kongamano la 44 la kuadhimisha Siku ya Mawasiliano/TEHAMA Afrika litafanyika mtandaoni tarehe 7/12/2021 kuanzia saa tano kamili asubuhi (5:00) hadi saa sita na nusu mchana (6:30).

Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea tovuti ya www.atuuat.africa
TeknoKona (Facebook)

Fahamu tofauti iliyopo kati ya APK na AAB katika upakuaji wa App Playstore kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/bTxo
TeknoKona (Facebook)

Fahamu jinsi ya kukata sauti kwenye video ya WhatsApp kabla haujaituma kwa mtu kwa kusoma makala hii.

https://zcu.io/zIQq
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Maadhimisho ya 44 ya Siku ya Mawasiliano/TEHAMA Afrika, 7/12/2021.

Kauli Mbiu “Kukuza ujuzi wa TEHAMA; kuwezesha mageuzi ya kidijitali Afrika”.
TeknoKona (Facebook)

Kuna programu nyingi ndani ya simu janja zenye ruhusa ya kusikiliza sauti na maongezi kwenye mazingira uliyopo, Hakikisha unaizima na kuiweka mbali unapofanya maongezi nyeti. Tembelea tovuti yetu kwa ushauri zaidi https://teknolojia.co.tz/