Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) ametembelea banda la maonesho la Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwenye Mkutano wa Tano wa Mwaka wa Wataalam wa TEHAMA uliofanyika jijini Arusha kuanzia Tarehe 20/10/2021 na kufikia tamati leo tarehe 22/10/2021.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - MKUTANO WA TANO WA MWAKA WA TEHAMA. | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) alipotembelea banda la maonesho la Mamlaka ya Mawasiliano...
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akizungumza kwenye Mkutano wa Tano wa TEHAMA Tanzania uliohitimishwa Tarehe 22/10/2021 Jijini Arusha katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) akizungumza kwenye Mkutano wa Tano wa TEHAMA Tanzania uliohitimishwa Tarehe 22/10/2021 Jijini Arusha katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekutana na Wawakilishi wa Umoja wa Watoa Huduma za Matangazo kwa njia ya Waya (Cable Operators - TACOL), Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA), Tume ya Ushindani Tanzania (FCC) na Baraza la Mashauriano la Watumiaji la TCRA (TCRA -CCC) katika kikao cha majadiliano kuhusu wizi wa maudhui na ukiukwaji wa hakimiliki.

Kikao hicho kilifunguliwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Dkt. Jabiri Bakari na kuhudhuriwa na Mkurugenzi wa Masuala ya Kisekta Dkt. Emmanuel Manasseh pamoja na Wadau wengine, leo tarehe 25/10/2021 katika Makao Makuu ya TCRA Jijini Dar es Salaam.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tengeneza Android App Ndani ya DK 5 Bila Android Studio #Maujanja 146
Kama unataka kutengeneza Android App bila kutumia Android Studio basi njia hii itakusaidia kutengeneza Android App ndani ya DK 5 tu bila kuwa na haja ya kutumia kompyuta.

LINK MAALUM

1. Tembelea Tovuti Hapa Kutengeneza App Yako - https://url.tanzaniatech.one/Rz9

2. Tengeneza Firebase JSON kwaajili ya Notification - https://url.tanzaniatech.one/Cy9

FOLLOW US

1. TikTok - https://www.tiktok.com/@tanzaniatech
2. Telegram - https://t.me/tanzaniatech
3. Facebook - https://facebook.com/tanzaniatech
4. Instagram - https://instagram.com/tanzaniatech_
5. Twitter - https://twitter.com/tanzaniatech

KAMA UNATAKA KUJIFUNZA ZAIDI HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE KUPATA MAUJANJA ZAIDI
Teknolojia
Photo
Tanzania Tech