Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

JOEBOY / MAMBO 10 USIYOFAHAMU
#joeboy #historia
Katika episode hii tutaangalia maisha ya Joeboy tokea mtaani na chuo hadi kuwa kinara wa Empawa kama tunavyomjua leo hii.
Kama ni mara yako ya kwanza kutazama Newzfid karibu sana,vile vile usisahau kulike video hii na kusubscribe kwa kufanya hivyo utakuwa umeniunga mkono. Asante

0:00​ | Introduction
0:55​ | Historia ya Joeboy
1:40​ | Elimu ya Joeboy
2:22​ | Joeboy anafanana na Marioo kimziki
3:06 | Uhusiano wa Joeboy na Mr Eazi
3:55 | Joeboy chini ya emPawa Africa
4:55​ | Wimbo maarufu wa Baby-Joeboy
5:35​ | Mashabiki wengi Afrika mashariki
6:09 | Show ya Joeboy Tanzania
7:04​ | Producer wa Joeboy wa wakati wote ni Oxygen Mix
7:53​ | Uandishi wa Joeboy tofauti na Wizkid na Davido
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekabidhi Vyeti kwa Mafundi simu 80 waliohitimu Mafunzo katika Chuo cha Amali Daya kilichopo Pemba Kisiwani Zanzibar, tarehe 26/10/2021. Mgeni Rasmi katika mahafali hayo ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mheshimiwa Simai Mohd Said.

TCRA imejizatiti kufanikisha mafunzo kwa mafundi simu wote nchini ili kuhakikisha wanatambulika na kutoa huduma zinazo aminika.
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Semina ya Mafunzo iliyofanyika Jumanne tarehe 26/10/2021 kwa wanafunzi na wafanyakazi wa Chuo cha Utumishi wa Umma - Tabora, kuhusu mambo muhimu ya kuzingatia kwa mtumiaji wa huduma na bidhaa za Mawasiliano. Wanafunzi waliwasilisha hoja na maswali kuhusu mawasiliano na kupatiwa majibu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bambo la Mtaa Alhamisi hii💥💥💥
Kupitia Clouds Tv kuanzia saa mbili na nusu (2:30) usiku…

Usikose!!
#sambazamchongonasiouongo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - RASILIMALI MASAFA. | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mhandisi Mwandamizi Victor Kweka kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) akitoa ufafanuzi kuhusu Rasilimali Masafa na kazi ya gari la mtambo kwenye...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWANINI LOGO YA APPLE IMENG'ATWA?
Wengi wetu tunamiliki electronics mbalimbali za apple kama iphone,Macbook,ipad na Apple watch. Kwenye product hizo kwa nje wamenaksi kwa rangi za mng'ao kwenye nembo ya tunda tufaha ama unaweza kuliita tunda apple..Je wajua ni kwanini?