Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Infinix Zero X Pro | Fahamu sifa na Bei yake
DISPLAY
Size: 6.67 inches

Display Type: AMOLED, 120Hz, 700 nits

Resolutions: 1080 x 2400 pixels.

CAMERAS:
Triple on rear with 108MP+8MP+8MP
Single selfie with 16MP

CAPACITY:
OS: Android 11, XOS 7.6
Chipset: Mediatek Helio G95 (12 nm)

CPU: Octa-core (2x2.05 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55)

RAM: 8GB & Storage: 128GB

BATTERY

Type: Li-Po with 4500 mAh, Non removable battery

#poatel #infinix #ZeroXPro
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye Sherehe za Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru 2021 zilizofanyika kwenye Viwanja vya Magufuli, Chato - Geita, Tarehe 14/10/2021. Sherehe hizo zilienda sambamba na Maadhimisho ya Miaka 22 ya Kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius K. Nyerere.

Kauli Mbiu ya Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru Mwaka 2021 ni “Tehama ni Msingi wa Taifa Endelevu; Itumike kwa Usahihi na Uwajibikaji”
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kwenye Sherehe za Kilele cha Mbio Maalum za Mwenge wa...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Tecno Spark 8 | Fahamu sifa na Bei yake
Key Specifications:

DISPLAY
Size: 6.52 inches

Display Type: IPS LCD

Resolutions: 720 x 1600 pixels.

CAMERAS:
Triple on rear with 108MP+8MP+8MP
Single selfie with 16MP

CAPACITY:
OS: Android 11, HiOS v7.6
Chipset: Mediatek Helio P22

CPU: Octa-core (2x2.05 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55)

RAM: 2GB & Storage: 64GB

BATTERY

Type: Li-Po with 5000 mAh, Non removable battery.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU SQUID GAME
Squid Game ni series ya televisheni kutokea Korea Kusini inayosimamiwa na kuonyeshwa na mtandao wa Netflix. Kwa wale ambao bado hawajaitazama series hii ya Kikorea, Squid game inahusu kundi la watu, ambao kutokana na madeni makubwa waliyonayo, wanajikuta wakishiriki na kushindana katika safu ya michezo rahisi ya utotoni, mshindi atapata donge nono ambalo litalipa madeni yote- ila kwa wataoshindwa, wanauawa mara moja. Donge nono hilo ni pesa ya kikorea Won Bilioni 45.6 ambayo kwa makadirio ni sawa na shilingi bilioni 89.

0:00​ | Introduction
1:06​ | Squid Game vs Hunger Games, Dark,na La Casa de Papel?
1:47​ | Squid Game inapatikana Netflix
2:43​ | Bajeti ya Netflix
3:41 | Squid Game ni stori ya kweli
4:31 | Mchezo halisi wa Squid Game
5:06​ | Maana ya maumbo ya Squid Game, Mduara,pembetatu na mraba
6:05​ | Gi hun na ...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

Samsung Galaxy A22 | Fahamu sifa na Bei yake
Key Specifications:

DISPLAY
Size: 6.4 inches
Display Type: Super AMOLED
Resolutions: 720 x 1600 pixels.

CAMERAS:
Quad on rear with 48MP+8MP+2MP+2MP
Single selfie with 13MP

CAPACITY:
OS: Android 11
Chipset: Mediatek Helio G80
CPU: Octa-core (2x2.05 GHz Cortex-A76 & 6x2.0 GHz Cortex-A55)

RAM: 4GB & Storage: 64GB/128GB

BATTERY

Type: Li-Po with 5000 mAh, Non removable battery.

#Poatel #Samsung #GaraxyA22
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

“TEHAMA ni Msingi wa Taifa Endelevu; Itumike kwa Usahihi na Uwajibikaji”