Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tunaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote katika kuadhimisha Miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwl. julius K. Nyerere.

#nyerereday