Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.59K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Bofya link https://youtu.be/OX3HLVGdXgA kufuatilia maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani mubashara kutoka Dodoma kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

SIMU YAKO BORA IPI HAPO

Je simu ipi Bora Kati ya INFINIX ZERO X PRO VS SAMSUNG A72 mie nitazungumzia kamera pamoja na uwezo wa lens🎯

Infinix ZERO X PRO imekuja na

Kamera nzuri na kali yenye uwezo mkubwa ya 108MP (wide) + 8MP(periscope telephoto) + 8MP(ultrawide), muunganiko huu unakuwezesha kupiga picha za mwezini ukiwa kwenye uso wa dunia.

kwa maana ina 60x zooming capacity kuifanya simu hii kuwa simu ya kwanza kuweza kupiga picha za mwezi ukiwa kwenye uso wa dunia sio poa.

Tunawajua Samsung ni Moja ya kampuni kongwe kwenye game na wanatoa vitu vizuri.

Kwa upande wa Samsung Galaxy A72 imekuja na

Kamera yenye uwezo wa mkubwa ya 64mp + 8 (telescope) + 12( ultrawide ) + 5 (macro) huku video yake ni 2160p/30 fps uwezo wa kupiga picha zenye muhonekano wa kupendeza zaidi

Kwa maana ya 30x zooming lens capacity yenye uwez...

View original post
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

𝗜𝘀𝗵𝗮𝗿𝗮 𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗺𝗴𝗼𝗻𝗷𝘄𝗮 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗲𝗻𝗱𝗮 𝘀𝗮𝗻𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂

unajua mtu ukiwa unapenda sana simu ujue ni ugonjwa, kwani inaweza kuwa ishara Moja wapo ya kutokuwa na afya njema.

Kupitia tovuti ya addictiontips.net wametuletea ishara ambazo ukiwa nazo hizi ujue wewe una ugonjwa wa kupenda sana simu 👇

1️⃣ kushika simu mkononi mda mwingi
mara nyingi watu wanaopenda sana simu zao kuzishika kupita kiasi kwamba hawawezi kuwa nayo mbali yani mtu akikaa mbali na simu yake hujihisi ni mgonjwa.

Watu ambao waathiliwa wa hivi Huwa utawaona tu mda wote yeye ana chart masaa 24 , kupiga simu nk.

2️⃣ kuwa na wasiwasi wa kupoteza au kuibiwa simu

unajua kuwa na wasiwasi ni muhimu ila ikipitiliza ni ugonjwa kwani mtu anakua na wasiwasi sana kiasi kwamba asipokua na simu karibu 😀 wacha aanze kuitafuta ila ni muhimu kujich...

View original post
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWANINI PETE YA NDOA HUVALISHWA KIDOLE CHA NNE?
"Je! Pete ya ndoa inavalishwa kwenye kidole gani?" Najua jibu la swali hilo sote tunajua right? ni mkono wa kushoto katka kidole cha pete,yaani kidole cha nne kutoka upande wa kidole gumba.Well Katika video hii fupi tunakwenda kuangalia kwanini pete huvishwa katika kidole hicho cha nne na huo utamdaduni ulianzia wapi na lini?
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU JAMES BOND
#Jamesbond #2021movies
James bond ni moja ya filamu za mfululizo maarufu zaidi duniani,kabla hatujafika mbali, tambua kuwa filamu za Bond zimejikita kwenye riwaya ya mtunzi na mwandishi Ian Fleming, ambae toleo la kwanza la kitabu chake kumhusu jasusi aliyempa jina la James bond lilitolewa mwaka 1953...Kwenye filamu, James bond alianza kuonekana tangu miaka ya 60 na uhusika huo umechezwa na waigizaji 7,Sean Connery,David Niven, George Lazenby, Roger Moore, Timothy Dalton, Pierce Brosnan, na Daniel Craig.

0:00​ | Introduction
1:04​ | Wadhifa wa James Bond
1:44 | Historia ya James bond
2:30​ | Movie ya kwanza ya Daniel Craig
3:19 | Kwanini James Bond inabadilisha waigizaji?
4:07 | Kwanini Pierce Brosnan alifukuzwa kutoka Bond?
4:48​ | Daniel Craig alikosolewa sana
5:32​ | Filamu za Craig,Quantum of Solace,skyfall,na S ...
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority on Facebook Watch
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Kuelekea Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2021 - Chato, Geita.

Kauli Mbiu: “Tehama ni Msingi wa Taifa Endelevu; Itumike kwa Usahihi na...