Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imeshiriki katika Mkutano wa pili wa Bodi ya Wasanifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB) uliofunguliwa rasmi tarehe 07/10/2021 na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa katika Ukumbi wa Mikutano wa AICC Jijini Arusha. TCRA imeshiriki kama mdau kwa kuweka banda la huduma kwa mteja na kutoa huduma kwa wadau waliofika kwenye viwanja vya AICC. Mkutano wa AQRB umehitimishwa rasmi leo tarehe 08/09/2021 na katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athuman Kihamia.

Usikose kufuatilia maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani mubashara kutoka Dodoma kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuanzia saa tatu kamili (3:00) asubuhi.

Bofya link https://youtu.be/OX3HLVGdXgA kufuatilia maadhimisho ya Siku ya Posta Duniani mubashara kutoka Dodoma kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, kupitia chaneli ya YouTube ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).

MAUJANJA: Jinsi ya kulinda bando lako kwenye simu @Bongotech255 โ Bongotech255
https://youtu.be/u7GjF82bDiU 4:31
https://youtu.be/u7GjF82bDiU 4:31
YouTube
MAUJANJA: Jinsi ya kulinda bando lako kwenye simu @Bongotech255
fahamu njia rahisi ya kuweza kulinda bando lako kwenye simu yako Kwa kuweza kutumia kwa Muda mrefu sana Yani utaweza kufurahia simu yako.
Download hapa ๐ :
https://moddroid.co/download/glasswire-data-usage-monitor-130835/1
YouTube link
๐ป usisahau kuโฆ

MNYAMA MWENYE KASI KULIKO WOTE DUNIANI โ Newzfid
https://youtu.be/9Uza9TEHWGM 3:05
https://youtu.be/9Uza9TEHWGM 3:05
YouTube
MNYAMA MWENYE KASI KULIKO WOTE DUNIANI
Pale linapokuja swali la mnyama gani mwenye kasi kuliko wote duniani najua wengi wetu tutasema ni Cheetah aka DUMA. Jibu ni sahihi ila halijatimia, kama ulikuwa haujui nje ya wadudu wapo wanyama ambao wana kasi kumzidi chui kwa karibu mara tatu na zaidi..Kupitiaโฆ
HAJIMURON255๐ (Instagram)
SIMU YAKO BORA IPI HAPO
Je simu ipi Bora Kati ya INFINIX ZERO X PRO VS SAMSUNG A72 mie nitazungumzia kamera pamoja na uwezo wa lens๐ฏ
Infinix ZERO X PRO imekuja na
Kamera nzuri na kali yenye uwezo mkubwa ya 108MP (wide) + 8MP(periscope telephoto) + 8MP(ultrawide), muunganiko huu unakuwezesha kupiga picha za mwezini ukiwa kwenye uso wa dunia.
kwa maana ina 60x zooming capacity kuifanya simu hii kuwa simu ya kwanza kuweza kupiga picha za mwezi ukiwa kwenye uso wa dunia sio poa.
Tunawajua Samsung ni Moja ya kampuni kongwe kwenye game na wanatoa vitu vizuri.
Kwa upande wa Samsung Galaxy A72 imekuja na
Kamera yenye uwezo wa mkubwa ya 64mp + 8 (telescope) + 12( ultrawide ) + 5 (macro) huku video yake ni 2160p/30 fps uwezo wa kupiga picha zenye muhonekano wa kupendeza zaidi
Kwa maana ya 30x zooming lens capacity yenye uwez...
View original post

๐๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ ๐บ๐ด๐ผ๐ป๐ท๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ฝ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐
unajua mtu ukiwa unapenda sana simu ujue ni ugonjwa, kwani inaweza kuwa ishara Moja wapo ya kutokuwa na afya njema.
Kupitia tovuti ya addictiontips.net wametuletea ishara ambazo ukiwa nazo hizi ujue wewe una ugonjwa wa kupenda sana simu ๐
1๏ธโฃ kushika simu mkononi mda mwingi
mara nyingi watu wanaopenda sana simu zao kuzishika kupita kiasi kwamba hawawezi kuwa nayo mbali yani mtu akikaa mbali na simu yake hujihisi ni mgonjwa.
Watu ambao waathiliwa wa hivi Huwa utawaona tu mda wote yeye ana chart masaa 24 , kupiga simu nk.
2๏ธโฃ kuwa na wasiwasi wa kupoteza au kuibiwa simu
unajua kuwa na wasiwasi ni muhimu ila ikipitiliza ni ugonjwa kwani mtu anakua na wasiwasi sana kiasi kwamba asipokua na simu karibu ๐ wacha aanze kuitafuta ila ni muhimu kujich...

Heri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kikeโฆ
#kizazichetuchadijitali

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot
KWANINI PETE YA NDOA HUVALISHWA KIDOLE CHA NNE?
"Je! Pete ya ndoa inavalishwa kwenye kidole gani?" Najua jibu la swali hilo sote tunajua right? ni mkono wa kushoto katka kidole cha pete,yaani kidole cha nne kutoka upande wa kidole gumba.Well Katika video hii fupi tunakwenda kuangalia kwanini pete huvishwa katika kidole hicho cha nne na huo utamdaduni ulianzia wapi na lini?