HAJIMURON255🌏 (Instagram)
Utajuaje kama simu yako imeathiliwa na virusi au spyware
Kuna wakati unakuta simu yako Kuna tabia imejitokeza ambayo mwanzoni haikuwepo maana tunatumia simu zetu kuingilia sehemu tofauti tofauti hatujui kha ni Salama kwetu.
1️⃣ Betri la simu yako kuisha hovyo
Ikiwa simu yako imeathiliwa na virusi au spyware basi matumizi ya betri yanakua makubwa kupelekea simu yako kuisha betri hovyo hovyo kila wakati. Ukiona betri lako linaisha sana chaji alafu jipya jua Kuna app zinafanya kazi bila wewe kujua.
Hivyo sio rahisi kuzigundua kikawaida inabidi uingie setting kwenye simu yako >> battery alafu tizama app ambazo zinakula sana betri lako.
2️⃣ Simu kupata joto
Ni kawaida simu kupata moto ukiwa unatumia kama kucheza games au kuchati sana , lakini inakuwaje simu yako hutumi lakini 😂 mzigo unakua wa moto jua kuwa Kuna kitu ha...
View original post

Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekabidhi kituo cha kompyuta kwa Umma (Tele-Centre) kwa Shule ya Sekondari Kakoso iliyopo katika Kijiji cha Majalila, Wilaya ya Tanganyika, Mkoani Katavi kwa lengo la kutoa huduma za TEHAMA kwa Waalimu, Wanafunzi na jamii kwa ujumla. Kituo hicho kimezinduliwa rasmi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge, Kanali Josephine Mwambashi ; Mkurugenzi Mkuu wa TCRA aliwakilishwa na Mkuu wa TCRA kanda ya Nyanda za Juu Kusini Ndugu Asajile John, jana Tarehe 25/09/2021.

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekabidhi kituo cha kompyuta kwa Umma (Tele-Centre) kwa Shule ya Sekondari Kakoso iliyopo katika Kijiji cha Majalila, Wilaya ya Tanganyika, Mkoani Katavi kwa lengo la kutoa huduma za TEHAMA kwa Waalimu, Wanafunzi na jamii kwa ujumla. Kituo hicho kimezinduliwa rasmi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge, Luteni Josephine Mwambashi ; Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) aliwakilishwa na Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mhandisi Asajile John, jana Tarehe 25/09/2021.

Flash | memory card yako ina virusi hujui jinsi ya kuondoa ?
Kuna wakati unajikuta ulikua unatumia flash yako vizuri tu ila ghafla ikaacha kufanya kazi au umemuazima mtu flash yako baada ya kuirudisha kila ukiweka kitu inakataa 😭 ?
Fahamu njia rahisi ya kuweza kuponesha flash ambayo imeingiliwa na virusi , inakataa kusoma vizuri pia haitaki kuingiza kitu chochote na hikiwa unaweka kitu basi itachukua muda mrefu kuingia.
Unajua flash nyingi hupelekea kufa au kutokufanya vizuri kutokana na sababu mbalimbali 👇
Inawezekana virusi vimehidhuru , imechomolewaa vibaya , au software missing kwenye kifaa chako na nk.
Njia za kuponesha flash ambayo inasumbua kusoma au imeingiliwa na virusi ni kufuata hatua hizi
Search cmd Kisha run as administrator hakikisha umeweka flash kabla ujafungua Cmd.
Kisha itafungua utaandika diskpart &g... ...