Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Utajuaje kama iphone unayotaka kununua ni fake au original ?

Huwezi kuwa na wasiwasi kama umenunua simu yako ya iphone Kali mpya kutoka kwenye masoko ya apple store au kutoka kwenye maduka yanayo haminika kama @south_to_tz @simukitaa_

Lakini Kununua simu ya iphone kwenye maduka ambayo sio 😳 ya kuhaminika sana au maduka yapo yapo tu unahitaji kuwa muangalifu sana.

Unajua simu nyingi fake za iphone wale watengenezaje wamewexa kushinda kwenye ku design tu.

1️⃣ Angalia apple warranty
Generally , apple Huwa wanatoa mda wa warranty kwenye simu zao usizidi mwaka mmoja (mwaka mmoja tu) Kwa vifaa vyake. vyote unavyovijua wewe ambavyo umenunua

Kuangalia kama simu yako inayo warranty au akuna unahitaji ujue serial number. Ingia setting kwenye simu > general > about utaona number ambazo hizo namba lazima liwe sawa na kule kwenye...

View original post
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Fuatilia kipindi cha Mawasiliano kwa Maendeleo kujionea ukuaji wa Sekta ya Mawasiliano katika Wilaya ya Kisarawe kupitia chaneli ya TBC 1 kuanzia saa tatu na dakika tano usiku (3:05)

Usikose!!