NYUMBA KATIKATI YA BARABARA, KWANINI? β Newzfid
https://youtu.be/NSy8O-YjluQ 1:05
https://youtu.be/NSy8O-YjluQ 1:05
YouTube
NYUMBA KATIKATI YA BARABARA, KWANINI?
Mnakumbuka picha hii ya nyumba iliyokati kati ya barabara? ok...basi wacha tujikumbushe kisa hiki, ilikuweje mpaka nyumba iwe kati ya barabara na nini kilipelekea barabara kiwango cha lami ijengwe kuzunguka nyumba hiyo ya gorofa 4?
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)
βTutumie Mawasiliano Kujiletea Maendeleo β

HAJIMURON255π (Instagram)
Utajuaje kama simu yako imeathiliwa na virusi au spyware
Kuna wakati unakuta simu yako Kuna tabia imejitokeza ambayo mwanzoni haikuwepo maana tunatumia simu zetu kuingilia sehemu tofauti tofauti hatujui kha ni Salama kwetu.
1οΈβ£ Betri la simu yako kuisha hovyo
Ikiwa simu yako imeathiliwa na virusi au spyware basi matumizi ya betri yanakua makubwa kupelekea simu yako kuisha betri hovyo hovyo kila wakati. Ukiona betri lako linaisha sana chaji alafu jipya jua Kuna app zinafanya kazi bila wewe kujua.
Hivyo sio rahisi kuzigundua kikawaida inabidi uingie setting kwenye simu yako >> battery alafu tizama app ambazo zinakula sana betri lako.
2οΈβ£ Simu kupata joto
Ni kawaida simu kupata moto ukiwa unatumia kama kucheza games au kuchati sana , lakini inakuwaje simu yako hutumi lakini π mzigo unakua wa moto jua kuwa Kuna kitu ha...
View original post