Teknolojia
139 subscribers
3.87K photos
5.6K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekabidhi kituo cha kompyuta kwa Umma (Tele-Centre) kwa Shule ya Sekondari Tumbatu iliyopo katika kisiwa cha Tumbatu - Zanzibar kwa lengo la kutoa huduma za TEHAMA kwa Waalimu, Wanafunzi na jamii ya kisiwa hicho kilichopo umbali mchache kutoka kisiwa cha Unguja. Uzinduzi wa kituo hicho ulihudhuriwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Zanzibar Ndugu Amour Hamil na kwa upande wa TCRA Mkurugenzi Mkuu aliwakilishwa na Mkuu wa Ofisi ya TCRA Zanzibar Bi. Esuvatie Masinga aliyesaini hati ya makabidhiano ya kituo hicho pamoja na vifaa vya TEHAMA vitakavyotumika.