mtandao unasumbua kwenye simu yako fanya hivi — Bongotech255
https://youtu.be/8lRYqyN4eno 1:23
https://youtu.be/8lRYqyN4eno 1:23
YouTube
mtandao unasumbua kwenye simu yako fanya hivi
Pata video mbalimbali kuhusu teknolojia kwa lugha kiswahili fahamu kuhusu simu kompyuta apps games software matatizo na suluhusho zake
HAJIMURON255🌏 (Instagram)
𝗠𝗮𝘂𝗷𝗮𝗻𝗷𝗮 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗴𝗲𝘂𝘇𝗮 𝗺𝗮𝗻𝗲𝗻𝗼 𝗷𝘂𝘂 𝗰𝗵𝗶𝗻𝗶 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼
Katika pita pita zako Mitandao ya kijamii hujawahi kukutana na maneno ambayo yamegeuka yaani yako kwenye mfumo wa juu chini ?
Okay najua umeshawahi kukutana nayo ila hukujua nini Cha kufanya au labda unajua ila umesahau basi 😄 Leo ngoja niwakumbushe sio mbaya.
Ngoja niwape mfano muweze kuona maana bila vitendo naweza kuwavuruga Bure tizama hapa 👇
👉 ɐpuǝdɐʍɐuɐ ϛϛᄅɥɔǝʇoƃuoq ᴉɹɐqɐH
😄😄 Umeona Sasa jinsi ya kufanya we ingia google Kisha andika
▫️ Upsidedowntext.com
▫️fliptext.net
▫️Manytools.org
Kupitia hizo tovuti basi utaweza kugeuza maneno unayoyataka kwenye simu yako juu chini 😁 wale watumiaji wa iOS , android , window , Mac os zinafanya kazi zote.
Ebu tuonyeshe na wewe yako kama umefanikiwa kugeuza maneno juu chi...
View original post

𝙉𝙖𝙨𝙝𝙞𝙣𝙙𝙬𝙖 𝙠𝙪𝙥𝙤𝙨𝙩 𝙄𝙣𝙨𝙩𝙖𝙜𝙧𝙖𝙢 𝙞𝙣𝙖𝙖𝙣𝙙𝙞𝙠𝙖 " 𝙉𝙤𝙩 𝙥𝙤𝙨𝙩𝙚𝙙 𝙔𝙚𝙩. 𝙏𝙧𝙮 𝙖𝙜𝙖𝙞𝙣 "
Moja kati ya jambo linachukiza Kila ukitaka kupost Instagram picha au video inaandika not posted yet try again shida nini ?
Shida kama hii inaweza kutokea kutokana na sababu mbalimbali Moja wapo ni app yako ya Instagram kushindwa kufanya kazi vizuri hivyo kupelekea kushindwa kuposti Instagram 😔.
Unajikuta bando unalo 1Gb alafu 😄 post ya mb 2 inakataa 😡😡 relax Leo tunaondoa tatizo lako kwa njia rahisi Sana usijali.
▫️ Kwanza hakikisha mtandao wako huko imara ( intaneti yako hiko poa) kama unaona huielewi elewi fanya hivi ingia setting Kisha >> about phone || device >> reset option >> Kisha app preference .
▫️ Zima Kisha washa simu yako baada ya kufanya app preference Zima na uwashe s...

MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU RICK ROSS — Newzfid
https://youtu.be/DeyHCvES84U 9:28
https://youtu.be/DeyHCvES84U 9:28
YouTube
MAMBO 10 USIYOFAHAMU KUHUSU RICK ROSS
Rapa wa Miami Rick Ross nguli wa muziki aliyevuma kama upepo miaka ya 2000 baada ya kuachia kile kibao chake cha kwanza,kiitwacho Hustlin, kutoka ile albamu yake ya kwanza Port of Miami mwaka 2006. Miaka kumi na tano baadaye, Ross anasimama kinara nje ya…