HAJIMURON255🌏 (Instagram)
𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝗵𝘂𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱ao ( 𝗺𝗼𝗯𝗶𝗹𝗲 𝗱𝗮𝘁𝗮) 𝘀𝗼𝗺𝗮 𝗵𝗮𝗽𝗮
Watu wengi wanaweza kuita cellular data , mobile data , data connection , vyovyote vile unavyohita Bali ni Moja ya jambo muhimu Sana kwenye simu zetu kwani huwezi kupata mtandao kama una bando alafu ujawasha mobile data utaishia kupiga picha kwenye simu yako.
Kuna baadhi ya simu ukiweka line kwa mara ya kwanza au unataka kubadili line basi mfumo mzima wa network pia unapotea hivyo unajikuta umebadili line alafu Kila ukiwasha data hola 😄 data inawaka mtandao unazingua relax huna haha kupiga huduma kwa wateja🤭.
Tatizo hili haswa uweza kutokea kwenye simu za Samsung , oppo na nk sasa utafanyaje ikiwa una bando ila mzigo unakataa kusoma fanya hivi
Ingia setting kwenye simu yako Kisha
• Network & internet
• mobile network
•...
View original post

Ondoa tatizo la try again later kwenye Instagram || how to fix try again later on Instagram 2021 — Bongotech255
https://youtu.be/IYjueIuryNo 1:05
https://youtu.be/IYjueIuryNo 1:05
YouTube
Ondoa tatizo la try again later kwenye Instagram || how to fix try again later on Instagram 2021
Moja kati ya tatizo kubwa linalowasumbua watu wengi ni shida ya try again later kwenye akaunti ya Instagram hupelekea mtu kushindwa kupost likes comment kwenye page za watu kupitia akaunti yako
tizama hiyo video njia rahisi ya kuweza kuondoa tatizo Hilo…