Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli 👋
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Tanzania Communications Regulatory Authority - Bambo la Mtaa!! | Facebook
Tanzania Communications Regulatory Authority (Facebook)

Usikose kufuatilia kipindi cha Bambo la Mtaa kinachorushwa kila siku ya Alhamisi kuanzia Saa Mbili na nusu (2:30) Usiku kupitia Chaneli ya Clouds TV....
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Unapenda kujifunza jinsi ya kutengeneza vitabu kupitia simu yako

Labda umeshawahi kujiuliza ni vipi watu wanatengeneza vitabu sio ? Pia ukajiuliza wanatumia nini kufanya hivyo 🤢? nitakujuza jinsi wanavyotengeneza ila kwa mfumo wa softcopy na sio hard copy... !!

Unajua kadri siku zinavyozidi kwenda tunahitaji mtu aliye professional kuweza kutengeneza vitabu vya mfumo wa Ebook kwanini usiwe wewe lakini kuna tovuti nyingi Sana zitakusadia kutengeneza vitabu kupitia simu yako | kompyuta yako na kuwa muhonekano mzuri na WA kuvutia

Mcheki mtu kama @joelnanauka_
Huwa anauzaga vitabu Sasa kwanini usiwe mtengenezaji wake ila

We fanya kutu follow ili usipitwe na maujanja zaidi kuhusu teknolojia kwa lugha ya Kiswahili @bongotech255

Tumia tovuti hizi || Apps hizi kutengeneza vitabu

1️⃣ FlipHTML5 (Strongly Recommend)
Hii Moja ya...

View original post
HAJIMURON255🌏 (Instagram)

Jinsi ya kutengeneza apps kupitia simu yako

Labda umeshawahi kujiuliza swali ni vipi unaweza kutengeneza app yako kama vile za Facebooks, insta, Whatsapp mwenyewe japokuwa hujui chochote kuhusu programming ? Pia kutengeneza bgames ? Usijali umekuja sehemu sahihi.

Miaka ya nyuma ilikua ni lazima huwe programmer hili utengeneze apps, ambayo ilikua inachukia wiki , mwenzi mpaka mwaka kukamilika. Lakini miaka ya hivi karibuni mambo yamebadilika 🌱.

Kuna app na tavuti Ambazo zimetengenezwa na unakuta Kila kitu ndani yake ambayo itakusaidia kuweza kutengeneza app yako mwenyewe kupitia simu au kompyuta we unafanya kazi ya ku drag & drop tu.

1️⃣ andromo
Hii ni Moja ya tovuti maarufu Sana ulimwengu kwenye masuala ya kutengeneza apps kwa njia rahisi, unaweza kutengeneza app Bure kabisaa na kuweza kuipakua kwa njia ya emails.

Hi...

View original post