Teknolojia
140 subscribers
3.87K photos
5.62K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli ๐Ÿ‘‹
Download Telegram
HAJIMURON255๐ŸŒ (Instagram)

๐”๐ฆ๐ž๐ฌ๐ก๐š๐ฐ๐š๐ก๐ข ๐ค๐ฎ๐ฃ๐š๐ซ๐ข๐›๐ฎ ๐š๐ฉ๐ฉ ๐ก๐ข๐ณ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ฒ๐š๐ค๐จ

Unajua simu za smartphone Raha yake hujue kuichezea utakavyo haswa ๐Ÿ˜„ Wala haitakupa shida Sana kwenye maisha yako

fahamu app nzuri za kutumia kwenye simu yako mwenzi huu September 2021 ni nzuri Sana

1๏ธโƒฃ Battery sounds notification
Hivi utajisikiaje pale ambapo umechomeka chaji ๐Ÿ˜„ simu yako hikakutaja jina lako au ikasema maneno flani Hivi amazing ๐Ÿ”ฅ basi pakua hii app utaweza kuweka sauti tofauti tofauti pale Ambapo umechomeka chaji au kutoa.

2๏ธโƒฃ Canva
Kama mfuatiliaje wa akaunti yetu basi hii app nimekua nikihitaja Sana kwenye makala zetu , unajua canva ni app Moja wapo nzuri Sana Kama wewe unapenda kujifunza design, logo maker , video collage basi app hii ni rafiki we fanya kuitumia.

3๏ธโƒฃ remote mouse
Je kompyuta || laptop yako inasumb...

View original post