Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
teknokona - Instagram Bridge
Je kwa sababu yeyote unataka kuendelea kufanya kazi zako kwenye kompyuta na huku ukiangalia video flani, hasa ndefu,...



Je kwa sababu yeyote unataka kuendelea kufanya kazi zako kwenye kompyuta na huku ukiangalia video flani, hasa ndefu, kutoka YouTube? Basi kwa kuangalia video ya YouTube kupitia VLC kwenye kompyuta itakurahisishia jambo hilo. #VLC #YouTube

Tembelea Teknokona kwa kubofya link kwenye bio @teknokona .

https://teknolojia.co.tz/kuangalia-video-ya-youtube-kupitia-vlc-kwenye-kompyuta/