Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
Baada ya tetesi za ujio wake siku za karibuni, hatimaye kampuni ya Infinix imezindua...

https://www.instagram.com/p/B_cU_UUAsfe/media?size=l

Baada ya tetesi za ujio wake siku za karibuni, hatimaye kampuni ya Infinix imezindua
simu mpya ya Infinix Hot 9 . Simu hii ni toleo la maboresho la simu ya Infinix Hot 8 ambayo ilizinduliwa rasmi mwaka jana 2019.
Tukianza kwa mbele, Infinix Hot 9 inakuja na kioo cha inch 6.6 kilicho tengenezwa kwa teknolojia ya IPS LCD. Kioo hicho kina kuja na uwezo wa kuonyesha picha na video zenye resolution hadi pixel 720 kwa 1600. Kwa juu ya kioo hicho kuna kamera moja ya Selfie yenye Megapixel 8 ambayo pia inauwezo wa kuchukua video za hadi 720p@30fps.
Kwa nyuma Infinix Hot 9 inakuja na kamera nne, kamera kuu ya simu hii ikiwa na uwezo wa Megapixel 13 na nyingine mbili zikiwa na uwezo wa Megapixel 2, na moja ya mwisho ikiwa na Megapixel 0.3 (VGA kamera). Kamera zote kwa pamoja zina uwezo wa kuchukua video za hadi 1080p@30fps. Ili kupiga picha vizuri hasa wakati wa usiku Infinix Hot 9 inakuja na Flash nne za LED ikiwa pamoja na teknolojia ya AI inayofanya picha kuonekana vizuri zaidi.
Kwa upande wa sifa za ndani, Infinix Hot 9 inakuja na processor ya Mediatek MT6762D Helio A25, processor inayosaidiwa na CPU yenye speed hadi Octa-core (4Γ—1.8 GHz Cortex-A53 & 4Γ—1.4 GHz Cortex-A53). Kwa pamoja simu hii inasaidiwa na RAM ya GB 3 au GB 4 kulingana na chaguo lako.
Infinix Hot 9 inakuja kwa matoleo mawili tofauti toleo la kwanza likiwa na uhifadhi wa ndani wa GB 64 na toleo la pili likiwa linakuja na uhifadhi wa ndani wa GB 32 Kama hiyo haitoshi unaweza kuongeza uhifadhi huo kwa kutumia memory card ya MicroSD Card ya hadi GB 256.
Kwa upande wa battery, Infinix Hot 9 inakuja na battery kubwa ya mAh 5,000, battery ambayo ina uwezekano mkubwa wa kufikisha siku nzima bila kuchaji simu yako. Mbali na hayo simu hii ni moja kati ya simu nyingi za Infinix zenye teknolojia ya Fast Charging hadi walt 10 kwa chaji.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
BEI YA SIMU HII
KWA TOLEO LA 32GB NI TSH 325,000
TOLEO LA 64GB NI TSH 350,000
πŸ“žπŸ“žπŸ“ž
0672988464
#Infinixnote7lite #infinix #infinixhot9 #infinixhot #chamomobile
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
#INFINIXHOT9. 🌹🌹🌹...

#INFINIXHOT9. 🌹🌹🌹
32GB NI TSH 325,000
TOLEO LA 64GB NI TSH 350,000
Baada ya tetesi za ujio wake siku za karibuni, hatimaye kampuni ya Infinix imezindua
simu mpya ya Infinix Hot 9 . Simu hii ni toleo la maboresho la simu ya Infinix Hot 8 ambayo ilizinduliwa rasmi mwaka jana 2019.
Tukianza kwa mbele, Infinix Hot 9 inakuja na kioo cha inch 6.6 kilicho tengenezwa kwa teknolojia ya IPS LCD. Kioo hicho kina kuja na uwezo wa kuonyesha picha na video zenye resolution hadi pixel 720 kwa 1600. Kwa juu ya kioo hicho kuna kamera moja ya Selfie yenye Megapixel 8 ambayo pia inauwezo wa kuchukua video za hadi 720p@30fps.
Kwa nyuma Infinix Hot 9 inakuja na kamera nne, kamera kuu ya simu hii ikiwa na uwezo wa Megapixel 13 na 16MP kwa toleo la GB 64 na nyingine mbili zikiwa na uwezo wa Megapixel 2, na moja ya mwisho ikiwa na Megapixel 0.3 (VGA kamera). Kamera zote kwa pamoja zina uwezo wa kuchukua video za hadi 1080p@30fps. Ili kupiga picha vizuri hasa wakati wa usiku Infinix Hot 9 inakuja na Flash nne za LED ikiwa pamoja na teknolojia ya AI inayofanya picha kuonekana vizuri zaidi.
Kwa upande wa sifa za ndani, Infinix Hot 9 inakuja na processor ya Mediatek MT6762D Helio A25, processor inayosaidiwa na CPU yenye speed hadi Octa-core (4Γ—1.8 GHz Cortex-A53 & 4Γ—1.4 GHz Cortex-A53). Kwa pamoja simu hii inasaidiwa na RAM ya GB 3 au GB 4 kulingana na chaguo lako.
Infinix Hot 9 inakuja kwa matoleo mawili tofauti toleo la kwanza likiwa na uhifadhi wa ndani wa GB 64 na toleo la pili likiwa linakuja na uhifadhi wa ndani wa GB 32 Kama hiyo haitoshi unaweza kuongeza uhifadhi huo kwa kutumia memory card ya MicroSD Card ya hadi GB 256.
Kwa upande wa battery, Infinix Hot 9 inakuja na battery kubwa ya mAh 5,000, battery ambayo ina uwezekano mkubwa wa kufikisha siku nzima bila kuchaji simu yako. Mbali na hayo simu hii ni moja kati ya simu nyingi za Infinix zenye teknolojia ya Fast Charging hadi walt 10 kwa chaji.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
BEI YA SIMU HII
KWA TOLEO LA 32GB NI TSH 325,000
TOLEO LA 64GB NI TSH 350,000
πŸ“žπŸ“žπŸ“ž
0672988464
#Infinixnote7lite #infinix #infinixhot9 #infinixhot #chamomobile
chamomobile - Instagram Bridge
#INFINIXHOT9. 🌹🌹🌹...

#INFINIXHOT9. 🌹🌹🌹
32GB NI TSH 320,000
TOLEO LA 64GB NI TSH 350,000
Baada ya tetesi za ujio wake siku za karibuni, hatimaye kampuni ya Infinix imezindua
simu mpya ya Infinix Hot 9 . Simu hii ni toleo la maboresho la simu ya Infinix Hot 8 ambayo ilizinduliwa rasmi mwaka jana 2019Tukianza kwa mbele, Infinix Hot 9 inakuja na kioo cha inch 6.6 kilicho tengenezwa kwa teknolojia ya IPS LCD. Kioo hicho kina kuja na uwezo wa kuonyesha picha na video zenye resolution hadi pixel 720 kwa 1600. Kwa juu ya kioo hicho kuna kamera moja ya Selfie yenye Megapixel 8 ambayo pia inauwezo wa kuchukua video za hadi 720p@30fpsKwa nyuma Infinix Hot 9 inakuja na kamera nne, kamera kuu ya simu hii ikiwa na uwezo wa Megapixel 13 na 16MP kwa toleo la GB 64 na nyingine mbili zikiwa na uwezo wa Megapixel 2, na moja ya mwisho ikiwa na Megapixel 0.3 (VGA kamera). Kamera zote kwa pamoja zina uwezo wa kuchukua video za hadi 1080p@30fps. Ili kupiga picha vizuri hasa wakati wa usiku Infinix Hot 9 inakuja na Flash nne za LED ikiwa pamoja na teknolojia ya AI inayofanya picha kuonekana vizuri zaidiKwa upande wa sifa za ndani, Infinix Hot 9 inakuja na processor ya Mediatek MT6762D Helio A25, processor inayosaidiwa na CPU yenye speed hadi Octa-core (4Γ—1.8 GHz Cortex-A53 & 4Γ—1.4 GHz Cortex-A53). Kwa pamoja simu hii inasaidiwa na RAM ya GB 3 au GB 4 kulingana na chaguo lakoInfinix Hot 9 inakuja kwa matoleo mawili tofauti toleo la kwanza likiwa na uhifadhi wa ndani wa GB 64 na toleo la pili likiwa linakuja na uhifadhi wa ndani wa GB 32 Kama hiyo haitoshi unaweza kuongeza uhifadhi huo kwa kutumia memory card ya MicroSD Card ya hadi GB 256Kwa upande wa battery, Infinix Hot 9 inakuja na battery kubwa ya mAh 5,000, battery ambayo ina uwezekano mkubwa wa kufikisha siku nzima bila kuchaji simu yako. Mbali na hayo simu hii ni moja kati ya simu nyingi za Infinix zenye teknolojia ya Fast Charging hadi walt 10 kwa chajiπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
BEI YA SIMU HII
KWA TOLEO LA 32GB NI TSH 325,000
TOLEO LA 64GB NI TSH 350,000
πŸ“žπŸ“žπŸ“ž
0672988464
#Infinixnote7lite #infinix #infinixhot9 #infinixhot #chamomobile"