Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
chamomobile - Instagram Bridge
β–Ά MAMBO USIYO YAJUA KUHUSU INFINIX S5PRO...

https://www.instagram.com/p/B-zXbD2gDHb/media?size=l

MAMBO USIYO YAJUA KUHUSU INFINIX S5PRO
Bei TSH 540,000 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ’°πŸ’°
πŸ”₯πŸ”₯Muundo wa Infinix S5 ProπŸ”₯πŸ”₯ Infinix S5 Pro ni muonekano wake mzuri pengine kuliko simu zote za Infinix kwa mwaka uliopita. Muonekano huu ni moja kati ya muonekano wa kisasa ambao ukweli unafanya simu hii kuwa ya tofauti hasa pale unapokuwa umeishika.
πŸ”₯πŸ”₯Kioo cha Infinix S5 ProπŸ”₯πŸ”₯
Kwa upande wa kioo simu hii inakuja na kioo cha kisasa ambacho ni Full HD+ chenye ukubwa wa inch 6.53 Kioo hicho pia kime tengenezwa kwa teknolojia ya kisasa 2.5D Curved Glass, pamoja na Scratch Resistant Glass ambayo inazuia simu hiyo kupata michubuko kwenye kioo. Vilevile kioo hicho kina uwezo wa kuonyesha video za HD hadi pixel 1080.
πŸ”₯πŸ”₯Kamera ya Mbele ya Infinix S5 ProπŸ”₯πŸ”₯
Kama unavyojua matoleo ya simu ya β€œInfinix S” huwa ni matoleo maalum ambayo yanalenga zaidi upande wa kamera ya mbele (Selfie camera) na kupitia simu hii mpya ya Infinix S5 Pro Infinix imekuja na simu ambayo sio tu imetengenezwa kwa ajili ya Selfie bali pia inakuja na muonekano premium ambao pengeine ulitegeme kupatikana kwenye simu za bei ya juu. Kwa ufupi hadi sasa Infinix S5 Pro ndio simu ya bei rahisi ambayo inakuja na selfie ya Pop up camera. Kamera hii ya mbele inakuja na uwezo wa Megapixel 40. Mfumo wake wa pop mechanism umejaribiwa zaidi ya mara 150,000 hivyo usijali kuhusu kufungua na kufunga kamera hiyo mara kwa mara.
Pia kamera hiyo inakuja na teknolojia ya kugundua pale simu yako inapo anguka (Drop protection) ambayo husaidia kamera hiyo ya mbele kujirudisha ndani yenyewe pale simu yako inapo anguka. Infinix wameongeza teknolojia ya (Dust Protection) teknolojia ambayo huzuia vumbi kwenye kamera hiyo, pamoja na (Smash Protection) ambayo hurudisha ndani kamera hiyo pele itakapo hisi mgandamizo kwenye simu yako kwa namna yoyote.
πŸ”₯πŸ”₯Kamera za Nyuma za Infinix S5 ProπŸ”₯πŸ”₯
S5pro inakuja na kamera 3 ambazo zinakuja na Megapixel 48, Megapixel 2 pamoja na QVGA low light camera sensor. Kamera hizi kwa pamoja zinakuja na uwezo mkubwa sana wa kuchukua picha nzuri hasa kwako wewe mpenzi wa kamera.
SIFA ZENGINE
ANDROID 10
STORAGE 6GB RAM 128GB ROM
Battery 4000mAh
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
#s5pro #infinixs5pro #chamomobile #dodo #alikiba #dodochallange #infinix
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
MAMBO USIYO YAJUA KUHUSU INFINIX S5PRO...

Battery 4000mAh πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

https://www.instagram.com/p/B_0AJHwASel/media?size=l