@Huduma
π¨ Kuna kampuni ni zichokozi sana π
Hii ni Realme 15T iko pamoja na iPhone 15 Pro Max hapo kwenye picha
βͺοΈ7000mAhπ80W
βͺοΈDimensity 6400
βͺοΈ50MP Camera
βͺοΈAndroid 15
Bei ni around laki tano

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
π¨ Samsung S25 ultra wanachakujifunza kutoka kwa Google pixel 10 pro kwenye zoom aseeπ₯π₯π₯
Cheki video.

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI βAI FOR EVERYONE MASTERCLASSβ Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho β ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. π Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. π Wataalamu / Professionals β Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
π¨ Wabunifu / Creatives β Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
πΌ Vijana & Wajasiriamali β Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
π Wanafunzi & Walimu β Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: β AI ni nini hasa (na sio nini)
β Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
β Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar