Teknolojia
132 subscribers
3.75K photos
4.43K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Safari ya kuelekea kuifuata ndoto yetuπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini)
βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Leo kuelekea uzinduzi wa Google Pixel 10 Series tayari picha wamezivujisha.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Mwanza: Roundabout ya Samaki πŸ“

@Njiwa_Store
❀1
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Hatimaye zimezinduliwa rasmi leo πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Box za Pixel 10 zinafanana na za Pixel 9.
@Huduma

πŸ’¨ SAMSUNG WARRANTY TZ

β–ͺ️S25 (8+256) - 1.85 UK Stock
β–ͺ️S25 (8+256) - 2.1m
β–ͺ️S25+ (12+256) - 2.3m
β–ͺ️S25 Ultra (12+256) - 2.55m

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A07 (4+64) - 345K
β–ͺ️A07 (4+128) - 380K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -420K
β–ͺ️A16 (8+256) - 550K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 650K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 750K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 850K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 950K
β–ͺ️A55 5G (8+256) - 950K
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+256) - 1.1M
πŸ’¨ Nyeupe za masheikh.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Ukiwa umekaa kwenye MASHINE unamix hizi ngoma mbili unasikiliza MELODY moja kwenye ngoma zote mbili, Hapo Kilchobadilika kwenye PAWA ni KEY na BPM na MANENO. ila the Rest ni NYOTA NA IN&;GARE. Finally huwezi jisifia kwa kitu ambacho kilisha exist more than 10 years, Waendelee tu kutoa ngoma kali ila mambo ya utengenezaj na kutambua michango kwenye uandikaji tutafika mbali sana kufukua mambo Huko hata Producers huwa wanaiba vitu kutoka kwenye trucks kazaa anakuja anatengeneza kitu kipya. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡°πŸ‡ͺ
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Umewahi kuambiwa simu ikidondoka majini, weka ndani ya mchele? πŸ€” Leo nakwambia ukweli – mchele si suluhisho! ❌ Njia sahihi ni kuzima simu, kutoa SIM, kutumia silica gel na kupeleka kwa fundi. βœ…
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kumtumia Mtu namba bila kucopy na kupasteβœ… πŸ‡°πŸ‡ͺ
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Za ndaaani zinasema Camera ya 100X zoom ya Pixel 10 Pro ina picha kali kuliko Samsung S25 Ultra.