Teknolojia
132 subscribers
3.75K photos
4.43K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

πŸ’¨ Kuna kampuni ni zichokozi sana 😁

Hii ni Realme 15T iko pamoja na iPhone 15 Pro Max hapo kwenye picha

β–ͺ️7000mAhπŸ”‹80W
β–ͺ️Dimensity 6400
β–ͺ️50MP Camera
β–ͺ️Android 15

Bei ni around laki tano
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Hii rangi ya Pixel 10 Pro 🀌
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Samsung S25 ultra wanachakujifunza kutoka kwa Google pixel 10 pro kwenye zoom aseeπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Cheki video.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI β€œAI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho β€” ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI β€” bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. πŸ‘” Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. πŸ’Ό Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. πŸ“š Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: βœ… AI ni nini hasa (na sio nini) βœ… Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli βœ… Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar
πŸ’¨ Wakenya kumbe wanaangaliaga kwa huruma hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Google Pixel 10 nani atakuwa mtanzania wa kwanza kutumia? 😁
πŸ’¨ Mzize tunataka abebe ballon d'or ila anatuangusha sana.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

After Update -iPhone 16 Pro Max vs iPhone 14 Pro Max Speed Test -
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Rimoti ya TV yako kwenye simu yako. @Stick - Remote Control For TV