Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Mfano: Play Store ikiwa na “Auto-update” imewashwa, inaweza kusasisha apps kubwa bila tahadhari.
💡 Namna ya Kudhibiti Tatizo Hili
✔️ Zima “Background Data” kwenye Settings → Apps → [App name]

✔️ Weka “Data Saver Mode” ili kuzuia apps zisizo muhimu kutumia data

✔️ Kagua sehemu ya “Data Usage” mara kwa mara ili kujua app gani inakula data zaidi
@Huduma

💨 SIMU ZITAKAZO TOKA HIVI KARIBUNI

▪️Redmi 15C
▪️Samsung A07
▪️Redmi 15
▪️Samsung A17
▪️Google Pixel 10 series
▪️iPhone 17 series
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. 💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. 📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini) Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini)
Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kuchati kwa Siri kwa kutumia application ya notes kwenye simu za iPhone
︎ Teknolojia

💨Mkiwa mnamwandika Mpina muwe mna repost basi ufike mbali zaidi😂👇
︎ Teknolojia

💨 Box za Pixel 10 zimevuja zitakuwa zinafanana na Pixel 9.

Bado siku 6 (20/8/2025) zizinduliwe.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

iQOO Z10 Turbo Plus TEARDOWN - See what s inside this phone!
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Spika Haitoi Sauti! Unachokisikia si sauti ya spika — ni ubongo wako unaotafsiri mawimbi ya hewa kuwa sauti! 🧠🎧
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. 💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. 📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini) Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Hook: JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. 💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. 📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini) Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli Sehemu AI inavyotumika kwenye biashar
︎ Teknolojia

💨 Kama una mpango wa kununua simu mpya mwaka huu jaribu kubadili brand utumie moja wapo ya hizi utanishukuru

▪️Oneplus
▪️Vivo
▪️Oppo
▪️Nothing
Usifungue apps nyingi kwa wakati mmoja.

Ikiwezekana, fanya factory reset baada ya muda mrefu.

Badilisha betri ikiwa ni ya kubadilishwa.