Teknolojia
132 subscribers
3.76K photos
4.44K videos
93 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi wamembeba mfanyakazi wa BMW aliyedumu zaidi ya miaka 20 kitengo cha ubunifu Bw. Kai Langer.

Kwa soko la magari ya umeme lilivyo gumu China lakini mwanzo mwa mwaka huu tuliweza kushuhudia Xiaomi SUV7 ikiipita Tesla Model3 kwenye mauzo.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Namna ya kupost video iwe na Quality kama ya mwanzo kwenye Instagram na Tik tok
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini)
Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Replying to @isackissa173 JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo
AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako.
🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi.
💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato.
📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini)
Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli
Sehemu AI inavyo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

JIUNGE NA MAFUNZO YA AI “AI FOR EVERYONE MASTERCLASS” Jifunze kutumia AI kwa njia rahisi na yenye matokeo AI sio ya kesho — ni ya sasa. Na tayari inabadilisha jinsi tunavyofanya kazi, tunavyounda, tunavyojifunza na tunavyopata kipato. 🌟 Mafunzo ya Masterclass hii ni ya ana kwa ana na yameandaliwa kukupa maarifa na ujuzi wa kutumia nguvu ya AI — bila kujali wewe ni nani au unafanya nini. 👔 Wataalamu / Professionals – Ongeza ufanisi wa kazi, punguza muda wa kazi na uwe mbele ya wenzako kwenye sekta yako. 🎨 Wabunifu / Creatives – Geuza AI iwe mshirika wako wa ubunifu kwa michoro, muziki, content na zaidi. 💼 Vijana & Wajasiriamali – Jifunze njia halisi za kutumia AI kuanzisha miradi ya pembeni, kufanya freelancing haraka na kupata kipato. 📚 Wanafunzi & Walimu – Tumia AI kwa utafiti, kuandika, kutengeneza mawazo mapya na kufanikisha masomo yako. Utakachojifunza: AI ni nini hasa (na sio nini) Jinsi ya kuandika prompt bora ili kupata matokeo ya kweli Sehemu AI inavyotumika kwenye biashara mbal
@Huduma

💨 Huawei Pura 80 Ultra ndiyo simu yenye camera bora kwasasa duniani.

Source: DXOMark
🔥 iOS26 ina style ambayo ni nzuri sana katika sehemu ya kuonyesha muda

Ina effects ambazo zina uhalisia unaofuata style ya Wallpaper
︎ Teknolojia

💨 Thamani ya Tesla sokoni Vs makampuni mengine ya magari.

Xiaomi ni wajuzi ila hii speed wanayokuja nayo inashangaza.
✔️ Futa au disable apps usizotumia kabisa

✔️ Tumia firewall app (mfano: NetGuard) kuzuia internet kwa apps usizozihitaji
2️⃣ System Updates za Siri
Hata kama hujaunganisha Wi-Fi, baadhi ya simu hufanya updates za apps au system kwa kutumia data ya laini (mobile data).
3️⃣ Push Notifications
Huduma kama WhatsApp, Instagram, Telegram, na Email zinahitaji “persistent connection” ili kupokea notification kwa haraka.

Hii connection huwa haiwezi kuzimwa hadi wewe uamue, na inakula data kidogo-kidogo siku nzima.
5️⃣ Pre-installed Bloatware
Wazalishaji wa simu mara nyingi huweka apps ambazo wewe huenda hutumii, lakini bado zinakula data kwa kufanya promotions, kuonyesha news feed, au kutuma “analytics data” bila ruhusa yako.
Mfano: Facebook, Instagram, Gmail, au apps za hali ya hewa.

📌 Kila mara zinapofanya sync, zinakula MB zako kimya kimya.
Hii inaweza kuwa spyware, adware, au app ya kawaida yenye code mbaya iliyopandikizwa.

⚠️ Wakati mwingine, hizi apps hutumia data nyingi sana nyuma ya pazia.
Bando lako linaweza kuisha bila kufahamu kama hautadhibiti apps na settings zinazotumia internet bila ruhusa.
Ukipuuza, unaweza kuwa unalipia spyware au bloatware bila kujua.
4️⃣ Spyware na Malicious Apps
Kuna apps mbaya ambazo hufuatilia matumizi yako na kutuma taarifa zako kwa server zao bila ruhusa.