Teknolojia
129 subscribers
3.71K photos
4.34K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 Vivo huu mwaka ni wao 🔥
5️⃣ Njia ya muda mfupi (bypass)

Ikiwa uko kwenye simu na screen imezimika kabisa:

Bonyeza power button kwa sekunde 1 kurudisha screen

Tumia earphones au Bluetooth ili usiguse screen kabisa

Tumia apps kama Call Confirm kuzuia kupiga bila kuthibitisha
4️⃣ Ufumbuzi wa haraka

🧽 Safisha eneo la juu la simu (karibu na kamera)
🧩 Ondoa tempered glass nzito au isiyo na ‘sensor hole’
⚙️ Test sensor kwa app kama Sensor Test
🔧 Ikiwa imeharibika kabisa – fundi anaweza kubadilisha proximity sensor
1️⃣ Simu ina sensor ya ‘proximity’

Sensor hii ipo juu karibu na kamera ya mbele. Kazi yake ni kuzima screen pindi unapokaribia uso wako ili kuepusha kugusa screen kwa pua au mashavu bila kukusudia.

Lakini...
2️⃣ Sensor ikiziba kabla ya muda ....

Kuna wakati simu inaweza kudhani umeweka sikioni, kumbe haujaweka. Sababu kuu ni:

Kioo kuwa na stika nzito au tempered glass mbaya

Uchafu mbele ya kamera ya mbele

Sensor yenyewe kuharibika
︎ Teknolojia

💨KWANINI SIMU YAKO INAZIMA SCREEN KABLA HUJAWEKA SIKIONI UNAPOPIGA SIMU?

Ni tatizo linalowasumbua wengi – unapopiga simu, kabla hujaweka sikioni tayari screen imezimika, huwezi hata bonyeza speaker au end call. Kwanini hili hutokea?

Fuata uzi huu hadi mwisho 👇
3️⃣ Dalili kuu za sensor tatizo

Simu inazima screen haraka hata kabla hujaiweka sikioni
Screen haijawaki hata baada ya kuiweka mbali
Hautaweza kutumia speaker, keypad au hata kuhang up unless uitumie kwa earphones
🔚 Kwa kifupi:

Sensor ya proximity ni muhimu – lakini ikileta usumbufu, tatua kwa:

✔️ Kusafisha kioo
✔️ Kuondoa screen protector nzito
✔️ Kufanya sensor test
✔️ Kumwona fundi kama njia zote zimeshindikana
︎ Teknolojia

💨 Oppo Find X8 Ultra ndiyo simu yenye Camera kali kwasasa duniani

Kwa mujibu wa DXO Mark hawa ni wataalamu wa kupima ubora wa vifaa vya Electronics duniani

Vivo X200 Ultra nafasi ya pili imemkaribia Oppo zaidi. Xiaomi huu mwaka kwao umekuwa mzito kila sehemu.
@Huduma

💨 OPPO K13 Turbo Pro
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
@Huduma

Wi-Fi si Internet! Usichanganye! Wi-Fi ni njia ya kuunganisha vifaa, si huduma ya internet yenyewe. Jifunze tofauti kati ya Wi-Fi na internet hapa! 🌐📶