Teknolojia
129 subscribers
3.71K photos
4.37K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
6. Je, factory reset husaidia?

Ndiyo, ikiwa tatizo ni la software.
Reset huondoa cache na makosa ya system — huwezesha mfumo wa battery kusoma tena uwezo halisi wa betri.

Lakini ikiwa betri imeharibiwa ki-hardware (kwa mfano imevimba au imechoka), suluhisho ni kubadilisha betri
5. Suluhisho la kiufundi zaidi:

🔧 Kwa simu zilizo-rooted au zenye recovery mode:

— Ingia recovery mode
— Futa battery stats (wipe battery stats)
— Kisha fanya cycle mpya ya charging kama hatua ya juu

⚠️ Tumia njia hii kwa uangalifu si kila simu inaruhusu.
2. Dalili za calibration iliyoharibika:

🔸 Simu inazima ghafla ikiwa na 30-70%
🔸 Ikifungwa tena, inaonyesha bado chaji ipo
🔸 Inacharge haraka isivyo kawaida hadi 100%
🔸 Battery ikishuka hadi kiwango fulani, app huanza lag au freeze
9. Nini cha kufanya kabla ya kununua betri mpya?

Kwanza fanya calibration ya kawaida
Jaribu factory reset
Scan simu yako dhidi ya apps mbaya
Angalia kama battery health imefika chini ya 80% (kwa iPhone unaweza kupitia Settings > Battery > Battery Health)
4. Suluhisho la muda mfupi (Manual Recalibration):

1. Charge simu hadi 100%

2. Itumie hadi ijizime kabisa

3. Iache kwa dakika 30 ikiwa imezimika

4. Icharge tena hadi 100% bila kuitumia kabisa

➡️ Hii husaidia mfumo wa simu kurekebisha makadirio ya battery health.
Tatizo la battery calibration linaonekana dogo lakini lina madhara makubwa:
📉 Simu inazima ghafla
🔋 Ufanisi wa betri unapungua
📱 Inaharibu uzoefu wa mtumiaji
8. Mbona simu mpya pia inapata tatizo hili?

⚠️ Hata simu mpya zinaweza kuathiriwa ikiwa: — Zilitoka kiwandani na calibration mbovu
— Zimewekwa firmware za ajabu (kwenye simu za kichina)
— Zimewekwa apps zenye malware au spyware
— Kuexpose simu kwenye joto la juu kwa muda mrefu
— Charging habits zisizo sahihi
— Betri kuchoka kutokana na uzee (aging)
︎ Teknolojia

💨 TECNO CAMON 40 Series

▪️Camon 40 (16+256) - 650K
▪️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
▪️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 NOTHING NEW UPDATE 💥

▪️CMF Phone1 (6+128) - 600K
▪️Phone2a (12+256) - 850K
▪️Phone 2 (12+256) - 980K

(NON ACTIVE)
▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.15m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.3m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨Kampuni ya Xiaomi wapo mbioni kuleta simu ya Xiaomi redmi Turbo 5.

Redmi Turbo 5 yaripotiwa kuja kama budget performance yenye Dimensity 8500 Ultra, display ya 6.6” 1.5K, betri la 7500mAh, na metal frame.

Huenda ikapewa jina jipya kama Poco X8 Pro.
👇👇
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

💨Muonekano wa Google Pixel Pro🔥
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini
@NjiwaFLow
@Njiwa_Store
Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Umeshawahi kujiuliza Xender inatuma mafaili bila intaneti kivipi? 🧠 Fahamu siri ya Wi-Fi Direct, jinsi simu zinavyounganishwa bila router, na kwa nini Xender huomba ruhusa kama location & storage! 🔥 Usitumie tu app bila kuelewa teknolojia iliyo nyuma yake!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Last month meeting with my fellow office members @blax_phonestore Tukijadili namna ya kuboresha huduma kwa wateja wetu
︎ Teknolojia

💨 NOTHING NEW UPDATE 💥

▪️CMF Phone1 (6+128) - 600K
▪️Phone2a (12+256) - 850K
▪️Phone 2 (12+256) - 980K

(NON ACTIVE)
▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.15m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.3m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757