Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
4. Angalia gharama za "baada ya kununua":

Je, betri ya simu hii ni rahisi kuharibika?

Spare parts zipo na ni rahisi?

Screen protector au kava zinapatikana kirahisi?
6. Angalia review kwenye YouTube & X kuhusu simu hiyo lakini chuja hype.

Review sahihi itakuambia kama simu hiyo ina matatizo kama: overheating, poor battery life, au software bugs.
2. Jiulize maswali 5 kabla ya kutafuta simu:

▪️Je, nitaitumia zaidi kwa kazi, mawasiliano au starehe?

▪️Kamera ni muhimu sana kwangu?

▪️Natumia apps nzito kama video editing au games?
︎ Teknolojia

💨Umesikia kuhusu hii simu?
Doogee S200 Max simu yenye battery yenye capacity ya 22000 mAh na fast charger ya 66W.

Kwa sasa huenda ndo simu yenye battery yenye capacity kubwa zaidi.

Lakini simu bado haijazinduliwa iliyopo ni Doogee S200 yenye battery ya capacity 10,100mAh
👇
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 NOTHING NEW UPDATE 💥

▪️CMF Phone1 (6+128) - 600K
▪️Phone2a (12+256) - 850K
▪️Phone 2 (12+256) - 980K

(NON ACTIVE)
▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.15m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.3m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kuna watu walijua maduka mazuri yapo Dar tu😂😂Kumbe mbeya pia kuna babalao BLAX STORE 😬
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 7 (8+128) - 550K
▪️Pixel 7a (8+128) - 550K
▪️Pixel 8 (8+128) - 850K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.35M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.65M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.65M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Redmi 14C 💥

Redmi 14C Specifications
▪️ Camera: 50MP
▪️ Storage: 128GB/256GB
▪️ RAM: 4GB
▪️ Battery Capacity: 5000mAh 👇

💥 Price: (4GB + 128GB) 300,000
(8GB + 256GB) 350,000

📍 Likoma, Opposite KKKT Kariakoo
📍 Roundabout ya samaki, Mwanza
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
📊 Threads inazidi kupanda kwa spidi, na soon itaipita X/Twitter kwa kuwa na watumiaji wengi ambao wapo active.

Meta imemteua Connor Hayes, Makamu wa Rais wa Bidhaa kwa upande wa Generative AI, kuongoza Threads, akichukua nafasi ya Adam Mosseri ambaye alikuwa Mkuu wa Instagram.
7. Epuka haya ili usiharibu battery calibration:

Kuacha simu ipoteze chaji hadi 0 mara kwa mara
Kuchaji usiku kucha kila siku
Kuweka apps zinazodanganya stats za battery
Kutumia simu kwenye joto kali au apps nzito wakati inachaji
3. Chanzo cha tatizo hili ni nini?

Battery calibration inaweza kuharibika kutokana na:

— Kuacha simu mpaka ifike 0% mara kwa mara
— Kuweka firmware isiyo rasmi (custom ROMs)
6. Je, factory reset husaidia?

Ndiyo, ikiwa tatizo ni la software.
Reset huondoa cache na makosa ya system — huwezesha mfumo wa battery kusoma tena uwezo halisi wa betri.

Lakini ikiwa betri imeharibiwa ki-hardware (kwa mfano imevimba au imechoka), suluhisho ni kubadilisha betri
5. Suluhisho la kiufundi zaidi:

🔧 Kwa simu zilizo-rooted au zenye recovery mode:

— Ingia recovery mode
— Futa battery stats (wipe battery stats)
— Kisha fanya cycle mpya ya charging kama hatua ya juu

⚠️ Tumia njia hii kwa uangalifu si kila simu inaruhusu.
2. Dalili za calibration iliyoharibika:

🔸 Simu inazima ghafla ikiwa na 30-70%
🔸 Ikifungwa tena, inaonyesha bado chaji ipo
🔸 Inacharge haraka isivyo kawaida hadi 100%
🔸 Battery ikishuka hadi kiwango fulani, app huanza lag au freeze
9. Nini cha kufanya kabla ya kununua betri mpya?

Kwanza fanya calibration ya kawaida
Jaribu factory reset
Scan simu yako dhidi ya apps mbaya
Angalia kama battery health imefika chini ya 80% (kwa iPhone unaweza kupitia Settings > Battery > Battery Health)
4. Suluhisho la muda mfupi (Manual Recalibration):

1. Charge simu hadi 100%

2. Itumie hadi ijizime kabisa

3. Iache kwa dakika 30 ikiwa imezimika

4. Icharge tena hadi 100% bila kuitumia kabisa

➡️ Hii husaidia mfumo wa simu kurekebisha makadirio ya battery health.
Tatizo la battery calibration linaonekana dogo lakini lina madhara makubwa:
📉 Simu inazima ghafla
🔋 Ufanisi wa betri unapungua
📱 Inaharibu uzoefu wa mtumiaji
8. Mbona simu mpya pia inapata tatizo hili?

⚠️ Hata simu mpya zinaweza kuathiriwa ikiwa: — Zilitoka kiwandani na calibration mbovu
— Zimewekwa firmware za ajabu (kwenye simu za kichina)
— Zimewekwa apps zenye malware au spyware