Teknolojia
133 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
3. Mfano kwenye simu ya kawaida ya Android (storage breakdown):
📱 TikTok cache – 1.5GB
📱 WhatsApp hidden media – 800MB
📱 .thumbnails – 600MB
📱 Logs za mfumo – 1GB
📱 App update backups – 500MB
🟰 Zaidi ya 4.5GB umejaa kimyakimya!
6. Tahadhari kubwa ⚠️
⚠️ Usifute mafaili kwenye /Android/data/ au system folders bila kuelewa maana yake.
⚠️ Ukifuta OTA packages vibaya – unaweza kuvuruga updates zako.
90% ya watumiaji Android hawajui hizi hidden files zipo.
👉 Ndiyo maana storage hujaa na hawajui nini cha kufanya – wanaishia kufomati tu!
Kumbuka:
🧹 Kusafisha cache si kosa – ni njia ya kuongeza maisha ya simu yako.
🛠️ Usitumie apps za usafishaji hovyo hovyo – zingine huiba data au kuweka ads.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hakikisha Hizi settings umezifanya ili uweze kuitrack sim yako ikiibiwa
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi Mi 11 lite 5G 128GB - 380K tu

📍KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨iPhone 17 pro max rangi ya dark blue na Orange 🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.2m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.35m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 2 (12+512) - 1.75m
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

CGJ2J39UELG Imethibitishwa UMEUSTUA MOYO WANGU Tarehe 19/7/25 saa 2:18 PM. Salio langu jipya ni UPENDO WA DHATI KWAKO.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 DuckDuckGo imeweka sehemu mpya ya kuficha picha zilizotengenezwa na AI kwenye matokeo ya utafutaji. https://twitter.com/DuckDuckGo/status/1944766326381089118#m
︎ Teknolojia

💨 Dada ukikutana na kijana anatumia simu kama hii ujue;-

Ni muaminifu, hadanganyi, anapenda kusikiliza, ukimkosea hakupigi anakuelekeza kwa upole, anakufundisha mambo mapya,

Sio tajiri ila anaweza kukufanya ujihisi uko peponi.
5. Usinunue simu kwa jina au brand — nunua kulingana na thamani.

Simu nyingi zenye jina zina gharama ya jina tu, lakini performance iko sawa na simu nyingine nusu bei yake.
▪️Nahitaji 5G au 4G inanitosha?

▪️Naweza kutumia simu hii kwa miaka mingapi?
3. Gawa bajeti yako katika makundi haya:

🔹 <250,000 TZS → Basic communication (calls, SMS, WhatsApp).

🔹 250K–500K → Kwa wanaotaka apps za kawaida + kamera ya wastani.
Simu nzuri ni ile inayokidhi mahitaji yako, si ile inayowashangaza watu kwenye meza ya kahawa.
︎ Teknolojia

💨KWA BAJETI YAKO UNUNUE SIMU YA NAMNA GANI?

Jinsi ya kujua bajeti sahihi kabla hujanunua simu”

Thread ya kusaidia watu wanaotaka kununua simu lakini hawajui bajeti yao halisi wala mahitaji yao ya msingi.

🧵🧵👇
🔹 500K–1M → Kazi, kamera nzuri, multitasking.

🔹 1M+ → High performance, content creation, gaming, 5G.
1. Bajeti ya simu siyo hela tu uliyonayo ni uwezo wako + mahitaji yako.

Kuna watu wana 1M lakini wakinunua simu ya 1M watashindwa hata kununua vocha wiki mbili.

Bajeti nzuri hujengwa kwa kufikiria matumizi yako ya kila siku.