Teknolojia
132 subscribers
3.79K photos
4.47K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ“ž 5. Call Forwarding Codes unazopaswa kuogopa:
β›” *21*number# – Anapokea simu zako zote
β›” *62*number# – Anapokea simu zako ukizimwa
β›” *67*number# – Anapokea simu zako ukipokea nyingine
βœ… Tumia ## kuzima forwarding zote mara moja
πŸ•΅οΈβ€β™‚οΈ 4. Dalili kuwa kuna mtu ana clone ya namba yako:
– Unakosa SMS muhimu (OTP, verification codes)
– Mtu anakupigia na kusema uliwapigia, kumbe hujapiga
– WhatsApp inaji-log out mara kwa mara
– Ujumbe wa bank au M-Pesa huufikii
– Simu yako inaonyesha busy wakati hujatumia
βœ… Nenda WhatsApp > Settings > Linked Devices
βœ… Ondoa kifaa chochote usichokifahamu
βœ… Weka biometric lock kwenye WhatsApp
πŸ’» 6. WhatsApp Web Exploit
Mtu anayeipata simu yako kwa sekunde chache anaweza kufungua WhatsApp Web na kusoma chats zako zote live – bila hata password yako.
⚠️ 3. Hili linawezekana kwa njia gani?
– Kuibiwa simu hata kwa sekunde chache

– Kutapeliwa kuandika codes kama *21* au *062*

– Kupokea SMS ya β€˜update’ au β€˜promotion’ yenye link ya kudanganya
– Kutumia Wi-Fi ya bila ulinzi mahali pa umma

– Kupiga picha ya SIM card yako
πŸ›‘οΈ 7. Jinsi ya Kujilinda:
– Usikubali kusaidiwa kuweka settings na mtu usiyemwamini
– Hakikisha una PIN kwenye line yako (PUK PIN)
– Usitumie public Wi-Fi bila VPN
– Usifungue link kutoka kwa namba usiyojua
– Angalia call/SMS forwarding mara kwa mara: dial *#
πŸ” 9. BONUS: Weka usalama zaidi kwa kutumia:
βœ… SIM PIN (Settings > Security > SIM Card Lock)
βœ… App Lock kwa apps nyeti (bank, WhatsApp, gallery)
βœ… 2FA (Two Factor Authentication) kwenye kila account
βœ… Usimpe mtu simu yako aishike bila sababu
🏦 8. Kwa nini hili ni la hatari sana?
– Anaweza kupata OTP za bank, social media, M-Pesa
– Anaweza kufungua account mpya kwa jina lako
– Anaweza kukuharibia jina mitandaoni au kuiba mali zako
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ OFFER SAMSUNG A SERIES

β–ͺ️A05 (4+64) - 250K
β–ͺ️A06 (4+64) - 300K
β–ͺ️A06 (4+128) - 330K
β–ͺ️A05s (4+128) - 350K
β–ͺ️A16 (4+128) -420K
β–ͺ️A16 (6+128) - 450K
β–ͺ️A16 (8+256) - 580K
β–ͺ️A26 5G (6+128) - 680K
β–ͺ️A26 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️A36 5G (6+128) - 900K
β–ͺ️A36 5G (8+256) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+128) - 1M
β–ͺ️A56 5G (8+256) - 1.15M

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ INFINIX BRAND NEW πŸ’₯

β–ͺ️Smart 8 (4+64) - 250K
β–ͺ️Smart 10 (8+64) - 290K
β–ͺ️Smart 10 Pro (8+128) - 330K
β–ͺ️Hot 60i (8+128) - 330K
β–ͺ️Hot 60 Pro (16+128) - 520K
β–ͺ️Hot 60 Pro (16+256) - 650K
β–ͺ️Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
β–ͺ️Note 50 (16+256) - 650K
β–ͺ️Note 50 Pro+ 5G (21+256) - 1.2M
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Ipi bora kwenye Video?

Xiaomi 14 Pro iPhone 15 Pro Max
πŸ’¨ Haya PSG wamepata nafasi ya kutoa mpira nje Chelsea hawatoboi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Mashine hii haifungui begi, lakini inayaona yote! πŸ‘€ Je, unajua inavyofanya kazi?
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Usijaribu kuchaj simu yako kwneye godoro usiku ukilala ni hatari sana #technology
Anaweza kutumia hotspot yako kufanya mambo haramu – wewe ndio utahusishwa