Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Tecno Spark 30 Vs Tecno Spark 30 5G Vs Tecno Spark 30 Pro Full Specs Review
The video explains the full specifications and comparison between Tecno Spark 30, Tecno Spark 30 5G, Tecno Spark 30 Pro. And there price as well as which you should buy.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Prefix Numbers : Unajua maana ya zile namba za mwanzo kwenye simu kama +255, 0713, au 0789? 🤔 Hizi ndizo huitwa Prefix Numbers na zinaweza kukuambia mengi: Nchi ilikotoka namba Mtandao unaotumika Wakati mwingine hata eneo la usajili! Fuatilia video hii 📲 ili ujue kila kitu kuhusu prefix numbers na kwanini kila moja ina maana yake!
📞 5. Call Forwarding Codes unazopaswa kuogopa:
*21*number# – Anapokea simu zako zote
*62*number# – Anapokea simu zako ukizimwa
*67*number# – Anapokea simu zako ukipokea nyingine
Tumia ## kuzima forwarding zote mara moja
🕵️‍♂️ 4. Dalili kuwa kuna mtu ana clone ya namba yako:
– Unakosa SMS muhimu (OTP, verification codes)
– Mtu anakupigia na kusema uliwapigia, kumbe hujapiga
– WhatsApp inaji-log out mara kwa mara
– Ujumbe wa bank au M-Pesa huufikii
– Simu yako inaonyesha busy wakati hujatumia
Nenda WhatsApp > Settings > Linked Devices
Ondoa kifaa chochote usichokifahamu
Weka biometric lock kwenye WhatsApp
💻 6. WhatsApp Web Exploit
Mtu anayeipata simu yako kwa sekunde chache anaweza kufungua WhatsApp Web na kusoma chats zako zote live – bila hata password yako.
⚠️ 3. Hili linawezekana kwa njia gani?
– Kuibiwa simu hata kwa sekunde chache

– Kutapeliwa kuandika codes kama *21* au *062*

– Kupokea SMS ya ‘update’ au ‘promotion’ yenye link ya kudanganya
– Kutumia Wi-Fi ya bila ulinzi mahali pa umma

– Kupiga picha ya SIM card yako
🛡️ 7. Jinsi ya Kujilinda:
– Usikubali kusaidiwa kuweka settings na mtu usiyemwamini
– Hakikisha una PIN kwenye line yako (PUK PIN)
– Usitumie public Wi-Fi bila VPN
– Usifungue link kutoka kwa namba usiyojua
– Angalia call/SMS forwarding mara kwa mara: dial *#
🔐 9. BONUS: Weka usalama zaidi kwa kutumia:
SIM PIN (Settings > Security > SIM Card Lock)
App Lock kwa apps nyeti (bank, WhatsApp, gallery)
2FA (Two Factor Authentication) kwenye kila account
Usimpe mtu simu yako aishike bila sababu
🏦 8. Kwa nini hili ni la hatari sana?
– Anaweza kupata OTP za bank, social media, M-Pesa
– Anaweza kufungua account mpya kwa jina lako
– Anaweza kukuharibia jina mitandaoni au kuiba mali zako
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 INFINIX BRAND NEW 💥

▪️Smart 8 (4+64) - 250K
▪️Smart 10 (8+64) - 290K
▪️Smart 10 Pro (8+128) - 330K
▪️Hot 60i (8+128) - 330K
▪️Hot 60 Pro (16+128) - 520K
▪️Hot 60 Pro (16+256) - 650K
▪️Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Note 50 (16+256) - 650K
▪️Note 50 Pro+ 5G (21+256) - 1.2M
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Ipi bora kwenye Video?

Xiaomi 14 Pro iPhone 15 Pro Max
💨 Haya PSG wamepata nafasi ya kutoa mpira nje Chelsea hawatoboi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mashine hii haifungui begi, lakini inayaona yote! 👀 Je, unajua inavyofanya kazi?