Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Usijaribu kuchaj simu yako kwneye godoro usiku ukilala ni hatari sana #technology
Anaweza kutumia hotspot yako kufanya mambo haramu – wewe ndio utahusishwa
πŸ•΅πŸ½β€β™‚οΈ 2. Mtu anayejua tech anaweza kufanya nini kupitia hotspot yako?

βœ… Kuona websites unazotembelea – kupitia sniffing tools kama Wireshark

βœ… Kukuchunguza (monitoring) kwa njia ya DNS spoofing
βœ… Kukudukua (hacking) kupitia Man-In-The-Middle attack

βœ… Kuweka malware kupitia files unazodownload

βœ… Kuiba taarifa zako za login kama hujatumia https

Yote haya yanawezekana ikiwa hotspot yako haina encryption nzuri na unamruhusu mtu asiyefahamika.
🧨 Mtu akiingia kwenye dark web, aka-download content haramu, au akatuma vitisho, kupitia hotspot yako –

➑️ Rekodi ya ISP itaonyesha ni wewe uliyetoa internet.
Unaweza kuitwa na polisi bila hata kujua kilichotokea. Kwa sababu: "Data ilipitia kwa laini yako, jina lako, na location yako."
⚠️ Umeona devices zisizo zako kwenye hotspot list yako

Kama unaziona dalili hizi – simama. Kitu si salama.
πŸ“‰ 4. Dalili kuwa kuna kitu kibaya kwenye hotspot yako
⚠️ Intaneti yako inakwisha haraka hata bila matumizi makubwa
⚠️ Simu inapata joto isivyo kawaida ukiwasha hotspot
⚠️ Unapokea SMS za login au OTP bila kuomba
πŸ›‘οΈ 5. Njia za kujilinda
βœ… Weka password ndefu na ngumu (epuka β€˜12345678’)
βœ… Tumia WPA2 au WPA3 encryption – si β€œopen” hotspot
βœ… Zima hotspot mara baada ya matumizi
βœ… Weka limit ya connections – kwa mfano max 1 device
βœ… Usiruhusu mtu asiyeaminika hata kwa dakika 2
βœ… Kagua mara kwa mara list ya devices zilizowahi kuunganishwa
Baadhi ya simu mpya kama za Samsung, Xiaomi na Pixel zinakuwezesha kuweka Guest Hotspot:

Ina password tofauti

Ina speed limit

Ina muda maalum wa connection

Hii ni bora sana kuliko kutoa hotspot yako ya kawaida.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ XIAOMI REDMI (Brand new) πŸ’₯

β–ͺ️Redmi A5 (3+64) - 250K
β–ͺ️Redmi A5 (4+128) - 280K
β–ͺ️Redmi 14C (4+128) - 300K
β–ͺ️Redmi 14C (8+256) - 350K
β–ͺ️Note 13 (6+128) - 450K
β–ͺ️Note 13 (8+256) - 530K
β–ͺ️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
β–ͺ️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
β–ͺ️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
β–ͺ️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
β–ͺ️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
β–ͺ️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
β–ͺ️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
@Huduma

πŸ’¨Baada ya Samsung kuzindua Samsung z fold 7 na tukisubiri toleo la Google pixel 10 pro fold.
Vivo nao hawapo mbali, Vivo wapo mbioni kuzindua Vivo x Fold5. Hii ni baada ya mafanikio ya vivo x Fold 3 series.
@Huduma

πŸ’¨Kushoto Vivo X200FE kulia vivo x Fold5
Zote zimezinduliwa rasmi leo huko India
Unawapa ngapi kampuni ya vivo
/10
πŸ”₯πŸ”₯
Njia za Kinga Mbele:

Usitumie apps nje ya Play Store

Backup kabla ya system update

Usizime simu wakati ina-update

Usi-root kama huelewi unachofanya

Hakikisha simu ina space ya kutosha kabla ya OTA update
5. Hatari ya Kuendelea Kulazimisha Boot:

β›” Inaweza kuharibu eMMC/eUFS storage
β›” Inaongeza joto – husababisha battery swelling
β›” Inapunguza lifespan ya simu yako