6οΈβ£
π IMEI inakusaidia nini?
β Ukipoteza simu, unaweza kuripoti IMEI ili ifungiwe
β Polisi wanaweza kuitumia kuifuatilia
β Ukiuziwa simu ya wizi, unaweza kuithibitisha kwa kuchunguza IMEI yake
IMEI ni silaha yako ya kwanza dhidi ya wizi wa simu.

7οΈβ£
β Simu zenye IMEI bandia/feki:
Simu nyingi za mchina au zenye "dual IMEI" bandia hazisajiliwi vizuri.
Hazitambuliki kwenye mitandao mingi ya kisasa.
Huenda zikasababisha:
Kufungiwa
Kutopata 4G/5G
Kupoteza signal

8οΈβ£
π§ Ujanja mchafu kwenye soko:
Baadhi ya mafundi hubadilisha IMEI (ile kitu inaitwa "flashing/changing IMEI").
Hii ni kinyume cha sheria na hatari kwa usalama wako.

β οΈ SIMU YA MWIZI INAWEZA KUONEKANA MPYA!
Ukiona bei ya simu iko βpoa kupita kiasi,β chunguza IMEI kwanza.

9οΈβ£
β Mambo ya kufanya leo:
Andika na hifadhi IMEI ya simu yako
Usinunue simu bila kuangalia IMEI
Hakikisha IMEI haijaripotiwa kama "blacklisted"
Kama unauza simu, hakikisha unafuta akaunti zako na kujua nani anachukua

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Kwa sifa hizi na bei yake, unaweza thubutu kununua Tecno Camon 40 Pro 5G?
Tecno Camon 40 Pro 5G ni simu ya 2025, sifa na bei yake inatengeneza mitazamo tofauti kwa muhitaji wa simu mpya kwa huu mwaka, zitazame sifa za hii tecno na bei yake uone utata uliopo kwa kulinganisha na simu zingine za daraja moja.

π¨ INFINIX BRAND NEW π₯
βͺοΈSmart 8 (4+64) - 250K
βͺοΈSmart 10 (8+64) - 290K
βͺοΈSmart 10 Pro (8+128) - 330K
βͺοΈHot 60i (8+128) - 330K
βͺοΈHot 60 Pro (16+128) - 520K
βͺοΈHot 60 Pro (16+256) - 650K
βͺοΈHot 50 Pro+ (16+128) - 520K
βͺοΈNote 50 (16+256) - 650K
βͺοΈNote 50 Pro+ 5G (21+256) - 1.2M
π¨ INFINIX BRAND NEW π₯
βͺοΈSmart 8 (4+64) - 250K
βͺοΈSmart 10 (8+64) - 290K
βͺοΈSmart 10 Pro (8+128) - 330K
βͺοΈHot 60i (8+128) - 330K
βͺοΈHot 60 Pro (16+128) - 520K
βͺοΈHot 60 Pro (16+256) - 650K
βͺοΈHot 50 Pro+ (16+128) - 520K
βͺοΈNote 50 (16+256) - 650K
βͺοΈNote 50 Pro+ 5G (21+256) - 1.2M
@Huduma
π¨Tayari mmoja amezinduliwa mwingine tunamsubiri
Google pixel 10 pro Fold vs Samsung Z fold 7
Yupi kwako ni unyama zaidi
π¨Tayari mmoja amezinduliwa mwingine tunamsubiri
Google pixel 10 pro Fold vs Samsung Z fold 7
Yupi kwako ni unyama zaidi
γ½οΈ Teknolojia
π¨ INFINIX HOT 60iπ₯π₯
Infinix hot 60i specifications
π Battery: 5160mAh with 45W fast charging
πΊ Display: 6.7" HD+ IPS LCD, 120Hz refresh rate
βοΈ Processor: MediaTek Helio G81 Ultimate
πΎ Memory: 4GB / 6GB / 8GB RAM + 128GB / 256GB storage (expandable via microSD)
πΈ Cameras:
Rear: 50MP + AI lens
Front: 8MP with LED flash
π Security: Side-mounted fingerprint sensor + Face unlock
π‘ Connectivity: 4G LTE, NFC, Bluetooth 5.3, Wi-Fi 5, USB-C, OTG support
π§ Protection: IP64 dust and splash res

π Range Rover imebadilisha logo yake.
JLR imethibitisha kuwa nembo hiyo haitachukua nafasi ya maandishi ya kawaida ya βRange Roverβ kwenye magari.
Badala yake, itatumika mahali ambapo alama kubwa haitoshi, kama kwenye lebo au matukio ya kifahari.

π 3. Unajuaje kama kuna keylogger kwenye simu yako?
β Simu inakuwa slow bila sababu
β Battery inaisha haraka sana
β Simu inapasha joto hata ukiwa huifanyi kazi

β Unapata popup au errors zisizoeleweka
β Unapoteza control ya app fulani (mf. WhatsApp, Facebook)

π 4. Hatari ya keylogger ni kubwa sana:
β Mtu anajua PIN ya simu yako
β Anaweza kupata password ya email yako au benki
β Anaweza kuona chats zako zote
β Anaweza hata ku-log in kwenye accounts zako bila OTP