ππΈπ² Project Indigo ni app mpya ya Adobe ambayo inawezesha simu kuchukua picha zenye ubora kuliko kutumia app ya simu.
Project Indigo inatumia mfumo maalum wa kuchkata picha na kuiboresha kuwa bora zaidi.
Project Indigo inatumia mfumo maalum wa kuchkata picha na kuiboresha kuwa bora zaidi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ππ² Style mpya wa Spacial Effects katika icons na widgets za Home Screen katika mfumo mpya wa iOS 26
Ukichezesha simu, utaona icons na widgets zinabadilika kuendana na angle ya simu
Ukichezesha simu, utaona icons na widgets zinabadilika kuendana na angle ya simu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
π¨Kwenye uzinduzi wa nothing phone 3 pia walizindua Headphone 1 π₯π₯
Hii design ya hapa ni kali kuliko hata simu yenyewe π₯π₯
π¨Kwenye uzinduzi wa nothing phone 3 pia walizindua Headphone 1 π₯π₯
Hii design ya hapa ni kali kuliko hata simu yenyewe π₯π₯
β
Hatua ya Mwisho: Angalia review za watu wengine
β YouTube: βSimu hii inafaa?β
β Reddit / Facebook Groups
β Review za Tanzania pia zipo!
Hii hukusaidia kuona matatizo ambayo hayajaandikwa kwenye karatasi.
β YouTube: βSimu hii inafaa?β
β Reddit / Facebook Groups
β Review za Tanzania pia zipo!
Hii hukusaidia kuona matatizo ambayo hayajaandikwa kwenye karatasi.
RAM: Angalau 4GB kwa kawaida, 6GB+ kwa matumizi makubwa
πΈ Storage: 64GB ni minimum. 128GB ni bora zaidi.
πΈ Storage: 64GB ni minimum. 128GB ni bora zaidi.
Camera
β Megapixels si kila kitu!
β Angalia sensor type (Sony, Samsung)
β Ota reviews za picha β kwa mfano YouTube
πΈ Operating System
β Android 13/14
β Usichukue simu yenye Android Go kama unahitaji multitasking

πΈ Display (Kioo)
β Resolution: Full HD+ (1080p) ni bora
β Panel: AMOLED ni nzuri zaidi kuliko IPS LCD
β Refresh Rate: 90Hz/120Hz huongeza smoothness
πΈ Battery: 5000mAh ni standard
π Fast Charging: 18Wβ120W ni bora kwa kasi

Hatua ya Pili: Elewa mahitaji yako
Unahitaji simu kwa nini?
β Kutuma tu messages & calls?
β Picha kali?
β TikTok, YouTube, IG?
β Gaming?
β Biashara?
Hii inasaidia kujua specs gani ni muhimu zaidi kwako.
Unahitaji simu kwa nini?
β Kutuma tu messages & calls?
β Picha kali?
β TikTok, YouTube, IG?
β Gaming?
β Biashara?
Hii inasaidia kujua specs gani ni muhimu zaidi kwako.
β
Hatua ya Tatu: Tumia tovuti kama GSM Arena au kimtindo wa specs checklist.
π Search "Best phones under 1M Tanzania GSM Arena"
Au tembelea hizi apps:
β Kimovil
β NanoReview
β Phone Finder tools
π Search "Best phones under 1M Tanzania GSM Arena"
Au tembelea hizi apps:
β Kimovil
β NanoReview
β Phone Finder tools
πΈ Updates
β Brands kama Samsung, Xiaomi, Infinix, realme, Tecno β angalia support ya updates
β Brands kama Samsung, Xiaomi, Infinix, realme, Tecno β angalia support ya updates
γ½οΈ Teknolojia
π¨ INFINIX HOT 60iπ₯π₯
Infinix hot 60i specifications
π Battery: 5160mAh with 45W fast charging
πΊ Display: 6.7" HD+ IPS LCD, 120Hz refresh rate
βοΈ Processor: MediaTek Helio G81 Ultimate
πΎ Memory: 4GB / 6GB / 8GB RAM + 128GB / 256GB storage (expandable via microSD)
πΈ Cameras:
Rear: 50MP + AI lens
Front: 8MP with LED flash
π Security: Side-mounted fingerprint sensor + Face unlock
π‘ Connectivity: 4G LTE, NFC, Bluetooth 5.3, Wi-Fi 5, USB-C, OTG support
π§ Protection: IP64 dust and splash res

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
Unajua maana ya +255, +254 au +1? Hizi si namba tuβni Country Codes! π Kila nchi ina ya kwake. +255 ni ya Tanzania πΉπΏ +254 ni ya Kenya π°πͺ +1 ni ya Marekani πΊπΈ Lakini... unajua kwanini zote zinaanza na β+β? Na +2 inawakilisha bara gani? π€ Fuatilia video hii hadi mwisho ujue siri ya namba hizi π²β¨

π¨ XIAOMI REDMI (Brand new) π₯
βͺοΈRedmi A5 (3+64) - 250K
βͺοΈRedmi A5 (4+128) - 280K
βͺοΈRedmi 14C (4+128) - 300K
βͺοΈRedmi 14C (8+256) - 350K
βͺοΈNote 13 (6+128) - 450K
βͺοΈNote 13 (8+256) - 530K
βͺοΈNote 13 Pro 4G (8+256) - 680K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
βͺοΈRedmi Note 14 (6+128) - 480K
βͺοΈRedmi Note 14 (8+256) - 580K
βͺοΈRedmi Note 14 5G (8+256) - 700K
βͺοΈRedmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
βͺοΈRedmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
βͺοΈRedmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)