Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.39K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
2: Performance

Fold 7 inatumia Snapdragon 8 elite Gen 3 — prosesa ya nguvu yenye AI support.

Kwa Fold 6 yenye Gen 3, tofauti kidogo sana
3: Battery & Charging
Z Fold 7 bado ina battery ya 4400mAh na fast charging ya 25W.
Hii ni sawa kabisa na Fold 6.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Njia za Kunufaika na AI ya Video Google Veo3
Tazama njia tofauti unazoweza kuzitumia ili kunufaika au kufaidika na kupata pesa mtandaoni kwa ai ya Google Veo3
Hakuna maboresho makubwa hapa.
Ungetegemea angalau 30W au zaidi kwa flagship kama hii.
4: Galaxy AI
Hii ndiyo tofauti kubwa.
Fold 7 imejengwa na Galaxy AI ndani kwa ndani:
Circle to Search
Live Translate kwa simu na texts
Note Assist
Generative Edit
Ingawa baadhi ya hizi AI features zipo kwenye Fold 6, Fold 7 inazifanya kwa ufanisi zaidi (deep integration).
5: Software Updates

Fold 7 inapata miaka 7 ya updates (Android + Security).

Fold 6 inapata 4-5 years.
Kama unapanga kutumia simu muda mrefu – hii ni point kubwa ya kuzingatia.
7: Bei
Z Fold 7 imezinduliwa kwa bei ileile ya Fold 6:
💰 $1,899
Tofauti iko tu kwa nchi tofauti na promotions mpya.
K
wa sasa, Fold 6 inashuka bei haraka – good deal kwa wanaotaka Fold bila kuvunja benki.
6: Main Camera
Hakuna mabadiliko ya maana kwenye main camera setup.
Still 200MP wide + 12MP ultra-wide + 10MP telephoto.
📸 Tofauti zipo kwenye AI enhancements tu.
Samsung hawajafanya mapinduzi makubwa.
Wameboresha palepale – lakini wanategemea AI kuvutia watu.
Na kama AI ni muhimu kwako – Fold 7 ni hatua sahihi.
Kama unatumia Fold 5 au 6 – bado huna sababu ya haraka kubadilisha.

👉 Kama uko na Fold 4 au chini – Fold 7 ni kwa ajili yako

AI features, updates, na performance ni deal ya ukweli kwa power users.
@Huduma

💨Fold 7 au flip 7
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.1m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.2m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 3a (12+128) - 1.1M
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 New video.... ⚖️
︎ Teknolojia

💨 Na mtaalamu @i_danny00 naye anaishi kama Pro 🔥
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Samsung Z fold 7 iliyozinduliwa jana muonekano ni matata sana🔥