γ½οΈ Teknolojia
π¨KWANINI SIMU NYINGI ZA 2025 ZINA AI BUTTON π NA MATUMIZI YAKE NI YAPI?
Watu wengi wameanza kuona simu mpya zenye button ya AI upande wa pembeni, lakini hawajui inafanya nini haswa. Leo tuongee!
π§΅π
π¨KWANINI SIMU NYINGI ZA 2025 ZINA AI BUTTON π NA MATUMIZI YAKE NI YAPI?
Watu wengi wameanza kuona simu mpya zenye button ya AI upande wa pembeni, lakini hawajui inafanya nini haswa. Leo tuongee!
π§΅π
β
Kuchukua notes kwa sauti (voice-to-text)
β Kufungua app unayotumia sana
β AI assistant β kama Google Gemini au ChatGPT Mini
β Kufungua app unayotumia sana
β AI assistant β kama Google Gemini au ChatGPT Mini
2. Mfano hai β HOT 60 5G+
Infinix wameita hii feature mpya:
π βOne-Tap AI Buttonβ
Infinix wameita hii feature mpya:
π βOne-Tap AI Buttonβ
3. Inafanya kazi gani?
Hii button inaweza kusaidia:
β Kufungua camera ya AI moja kwa moja
β Kutafsiri (translate) haraka messages
Hii button inaweza kusaidia:
β Kufungua camera ya AI moja kwa moja
β Kutafsiri (translate) haraka messages
1. AI Button ni nini?
Hii ni kitufe maalum kinachowekwa upande wa simu β kama Infinix HOT 60 5G+ β kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali kwa haraka kupitia akili bandia (AI).
Ni kama shortcut, lakini yenye akili π€―
Hii ni kitufe maalum kinachowekwa upande wa simu β kama Infinix HOT 60 5G+ β kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali kwa haraka kupitia akili bandia (AI).
Ni kama shortcut, lakini yenye akili π€―
π Infinix Hot 60 5G+ inakuja na One-Tap AI Button
Imewekwa chini ya volume na power button. Inaitwa βsmart and seamless shortcutβ β shortcut ya kisasa isiyo na usumbufu.
Unapogusa, AI Assistant inafunguka instantly.
Imewekwa chini ya volume na power button. Inaitwa βsmart and seamless shortcutβ β shortcut ya kisasa isiyo na usumbufu.
Unapogusa, AI Assistant inafunguka instantly.
γ½οΈ Teknolojia
π¨ USED DUBAI (Original Display)π
βͺοΈPixel 7 (8+128) - 550K
βͺοΈPixel 7a (8+128) - 550K
βͺοΈPixel 8 Pro (12+128) - 1.15M
PIXEL MPYA (Non Active)π₯
βͺοΈPixel 9a (8+128) - 1.45M
βͺοΈPixel 9a (8+256) - 1.7M
βͺοΈPixel 9 (12+128) - 1.75M
βͺοΈPixel 9 (12+256) - 2.1M
βͺοΈPixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
βͺοΈPixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
βͺοΈPixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
βͺοΈPixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M
πOpposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani π
@Njiwa_Store
π 0745100757
wa.me/+255745100757

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
π¨Juzi nilielezea feature ya Glyph light kwenye simu ya Nothing Phone 3 na hii hapa ni miongoni mwake
π¨Juzi nilielezea feature ya Glyph light kwenye simu ya Nothing Phone 3 na hii hapa ni miongoni mwake
5: Usitumie blow dryer au kuweka kwenye oven/moto!
Watu hujaribu kuikausha kwa joto kali β hilo linaweza kuharibu screen, betri, au circuits.
β Ni hatari kuliko unavyofikiria.
Watu hujaribu kuikausha kwa joto kali β hilo linaweza kuharibu screen, betri, au circuits.
β Ni hatari kuliko unavyofikiria.
4: Toa vitu vinavyotoka
β Toa SIM card
β Toa memory card (SD)
β Kama betri inawezekana kutolewa, iitoe pia
Lengo ni kuzuia mzunguko wa umeme kuendelea na kuharibu components.
β Toa SIM card
β Toa memory card (SD)
β Kama betri inawezekana kutolewa, iitoe pia
Lengo ni kuzuia mzunguko wa umeme kuendelea na kuharibu components.
9: Simu inaweza kupona baada ya maji β lakini tu kama hukufanya makosa makubwa mwanzoni.
Na mara nyingi, reaction yako ya kwanza ndiyo huamua hatima ya simu.
π Usiiwashe mara moja.
π Usiiweke kwa joto kali.
π Usikae nayo muda mrefu kwenye maji.
Na mara nyingi, reaction yako ya kwanza ndiyo huamua hatima ya simu.
π Usiiwashe mara moja.
π Usiiweke kwa joto kali.
π Usikae nayo muda mrefu kwenye maji.
β€1
6: β
Badala yake, fanya hivi:
β Kausha kwa kitambaa kilicho kavu vizuri
β Uipe muda (masaa 24β48) ikiwa kwenye mazingira yasiyo na unyevu
β Kausha kwa kitambaa kilicho kavu vizuri
β Uipe muda (masaa 24β48) ikiwa kwenye mazingira yasiyo na unyevu
β οΈ Ukweli: Kuwasha simu yenye unyevu ndani ni sawa na kuwasilisha mialiko kwa umeme kusababisha uharibifu mkubwa.
8: π― Kama simu yako ina IP rating kama IP67/IP68 β ina uwezo wa kuhimili maji kidogo.
Lakini si vizuri kujaribu kwa makusudi.
Na kingine: maji ya bahari yana chumvi β ni hatari zaidi kuliko maji ya kawaida.
Lakini si vizuri kujaribu kwa makusudi.
Na kingine: maji ya bahari yana chumvi β ni hatari zaidi kuliko maji ya kawaida.
7: π Usiweke kwenye chaji kabla ya kuwa na uhakika imekauka vizuri.
Ni vizuri kuipeleka kwa fundi kama haijawaka baada ya kukauka.
Fundi anaweza kuifungua na kukausha sehemu za ndani kitaalamu.
Ni vizuri kuipeleka kwa fundi kama haijawaka baada ya kukauka.
Fundi anaweza kuifungua na kukausha sehemu za ndani kitaalamu.