Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
2: Ondoa haraka kwenye maji.
Usikae kuishangaa au kupiga kelele. Ondoa fasta!

Muda wa kukaa ndani ya maji huongeza nafasi ya uharibifu.
👉🏽 Njia ya zamani: Weka kwenye mchele kavu.
Mchele hufyonza unyevu. Si njia bora 100% lakini inasaidia kama huna vifaa vya kitaalamu.
💨Tahadhari ⚠️
Kariakoo kama hawatakuibia simu sasa hivi watakuuzia simu ya mkopo kuwa makini
@Huduma

💨 Mwaka jana kampuni ya Infinix walizindua tablet ya Infinix Xpad. Yenye hadhi ya mid-range.

Mwaka huu wako mbioni kuzinduliwa Infinix Xpad GT.

Infinix Xpad GT Itakuwa na specs
👇
Body: 291.7x191.1x6.5mm, 655g; Glass front (Gorilla Glass 3), aluminum frame, aluminum back; Stylus support.
Display: 13.00" IPS LCD, 1B colors, 144Hz, HDR10, 700 nits (peak), 2880x1840px resolution, 5.75:9 aspect ratio, 263ppi.
Chipset: Qualcomm SM8350 Snapdragon 888 5G (5 nm): Octa-core (1x2.84 GHz Cortex-X1 & 3x2.
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 7 (8+128) - 550K
▪️Pixel 7a (8+128) - 550K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨 HIZI UNAPATA WARRANTY YA KIOO MWAKA 1

▪️Samsung A16 (4+128) -450K
▪️Samsung A26 5G (6+128) - 680K
▪️Samsung A26 5G (8+256) - 780K
▪️Samsung A36 5G (6+128) - 900K
▪️Samsung A36 5G (8+256) - 1M
▪️Samsung A56 5G (8+128) - 1M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.1m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.2m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 3a (12+128) - 1.1M
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 TECNO CAMON 40 Series

▪️Camon 40 (16+256) - 650K
▪️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
▪️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

💨 Namna ya kutumia camera zote za Google Pixel 7 Pro.
💨 Kila siku usiku internet ya voda haifanyi kazi 🗑️
🆕 Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 26 Beta 3

Katika mabadiliko makubwa ya mfumo huu, Apple imepunguza transparency ya mwonekano na sasa imekuwa sio Liquid Glass kama ilivyokuwa kwenye Beta 1 na 2.

🚫 Watu wengi hawajapenda mwonekano huu.

🚨 iOS imeacha kuwa Liquid Glass
🆕 Jack Dorsey, mwanzilishi mwenza wa Twitter na Mkurugenzi wa kampuni ya Block, weekend hii ametoa app mpya ya Bitchat.

Bitchat ni app ya kutuma ujumbe kutumia teknolojia ya Bluetooth network, inaweza kutuma ujumbe bila kutumia Wi-Fi wala mtandao wa simu.
Bitchat itashindana na WhatsApp na app za kutuma meseji.

- Itakuwa haitumii bando
- Mamlaka za kudhibiti apps na mawasiliano hazitaweza kuizuia
- Haikusanyi data zozote
- Ni encrypted na salama
🆕 Kama unapenda kupiga picha zenye ubora mzuri kwa kutumia simu yako, jaribu kutumia app hii ya Project Indigo.

Project Indigo ni app mpya ya Adobe - inafanya simu kuwa na uwezo mzuri wa kupiga picha https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1942619900536594443#m