Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.53K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

๐Ÿ’ก TECNO AI
Amekuja na Akili bandia anaitwa ELLA ambayo ina nguvu ya Deepseek, Gemini na chatGpt kwa kuweza kukusaidia na kurahisisha mawasiliano.

kwa kuediti picha zako, kubadili documents kuwa ujumbe, kurekebisha picha zako kwa kuondoa kitu usichokitaka.
@Huduma

๐ŸŽ Ili kusherehekea uzinduzi huo, kila ukinunua SPARK 40 Series unapata siku 180 za kustream Poaflix na warranty ya miaka miwili bure.
@Huduma

๐Ÿ’จMichezo๐Ÿ˜‚๐Ÿ”ฅ
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Mtu akikuazima simu yako umekwisha

WhatsApp walileta hii feature ili kuwasaidia watu wanaohitaji kujibiwa messages zao na watu waliowaunganishia linked devices.

Lakini siku hizi baadhi wanatumia upenyo huu kuingilia kwa siri mawasiliano ya wapenzi wao ๐Ÿ‘‡
Hasa kwa:
๐Ÿ“ฑ Professionals
๐ŸŽฎ Gamers
๐ŸŽ“ Students
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ผ Watu wa kawaida
5. Simu zingine zenye AI Button 2025?
โœ… Infinix HOT 60 5G+
โœ… TECNO Camon 30 Premier
โœ… Xiaomi Redmi AI Series
โœ… Vivo V30 AI Focus Button
(List inaongezeka kila mwezi...)
4. Kwa nini ni muhimu 2025?
โžก๏ธ Simu zimekuwa smart sana, apps zimejaa.
โžก๏ธ Watu hawataki kupoteza muda kufungua app moja moja.
โžก๏ธ AI button inarahisisha kila kitu kwa bonyeza moja tu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKWANINI SIMU NYINGI ZA 2025 ZINA AI BUTTON ๐Ÿ”˜ NA MATUMIZI YAKE NI YAPI?

Watu wengi wameanza kuona simu mpya zenye button ya AI upande wa pembeni, lakini hawajui inafanya nini haswa. Leo tuongee!

๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
โœ… Kuchukua notes kwa sauti (voice-to-text)
โœ… Kufungua app unayotumia sana
โœ… AI assistant โ€“ kama Google Gemini au ChatGPT Mini
2. Mfano hai โ€“ HOT 60 5G+
Infinix wameita hii feature mpya:
๐Ÿ‘‰ โ€œOne-Tap AI Buttonโ€
3. Inafanya kazi gani?
Hii button inaweza kusaidia:
โœ… Kufungua camera ya AI moja kwa moja
โœ… Kutafsiri (translate) haraka messages
1. AI Button ni nini?
Hii ni kitufe maalum kinachowekwa upande wa simu โ€“ kama Infinix HOT 60 5G+ โ€“ kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali kwa haraka kupitia akili bandia (AI).

Ni kama shortcut, lakini yenye akili ๐Ÿคฏ
๐Ÿ”˜ Infinix Hot 60 5G+ inakuja na One-Tap AI Button
Imewekwa chini ya volume na power button. Inaitwa โ€œsmart and seamless shortcutโ€ โ€” shortcut ya kisasa isiyo na usumbufu.
Unapogusa, AI Assistant inafunguka instantly.