Teknolojia
132 subscribers
3.73K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Teknolojia
Photo
chamomobile - Instagram Bridge
#Infinixs5pro @chamomobile 🔥🔥🔥🔥👉👉👉👉👉👉👉 TSH 540,000...

https://www.instagram.com/p/B-uAEYeAJxn/media?size=l

#Infinixs5pro @chamomobile 🔥🔥🔥🔥👉👉👉👉👉👉👉 TSH 540,000
Kuna madai kwamba Infinix S5 Pro imechelewa kufika kwenye soko la Tanzania, chanzo kikijulikana kama janga la CORONA, sasa katika kuleta usawa bana ya wateja wa Infinix, Kampuni ya simu ya Infinix imeona ni vyema wadau wa simu za Infinix hapa Tanzania kupokea Infinix S5 Pro yenye sifa bora zaidi kuliko simu za Infinix S5 Pro zilizopo sokoni kwa sasa nchini India na Pakistani.
Lakini vile vile inasemekana kuwa vionjo vilivyo fanyiwa kazi kwenye Infinix S5 Pro vimetokana na comment za wateja kupitia website ya GSMArena kwani kupitia mtandao huo wadau walionekana kuridhishwa na selfie ya simu hiyo yenye megapixel 40 na teknolojia ya kamera kuchomoza ndani ya simu na kukerwa na mfumo wa chaji wakidai ni vyema kwa simu yenye Android V10 (Q)
kutumia chaji aina ya TYPE C .
Na kulingana na matakwa ya wateja inasemekana Infinix S5 Pro imefanyiwa maboresho mengi kama aina ya chaji na processor pia kuwa yenye speed zaidi ili kuweza kuwafuraisha wachezaji games kupitia simu hiyo
Simu hii inapatikana kwa bei Tsh 540,000
#infinixs5pro
Soon nitawaletea nakala kuhusu sifa za simu hii kwa undani zaidi.... 🌹🌹🌹🌹🌹
Usisahau kufollow account yetu @chamomobile kwa taarifa zaidi
#infinix #android #smartphones #infinixs5 #infinixtanzania