Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
3. Umeweka kidole kwa angle tofauti

Wakati unarekodi fingerprint mara ya kwanza, simu hukumbuka angle maalum. Ukigusa kwa angle tofauti sana, inaweza kushindwa kutambua.
🔧 Suluhisho la haraka:

▪️Osha na kausha mikono kabla ya kutumia.

▪️Safisha sensor mara kwa mara.

▪️Rekodi tena fingerprint mpya (angle tofauti).

▪️Hakikisha simu ina updates zote.

▪️Kama shida inaendelea – fikiria kutumia face unlock kwa muda.
2. Sensor ni chafu au ina vumbi

Sensor inapokuwa na vumbi, mafuta ya ngozi, au uchafu wowote, inashindwa kusoma fingerprint vizuri.
7. Fingerprint yako imebadilika
Kama unafanya kazi ngumu sana kwa mikono (welding, construction, graphics, cleaning), alama zako za vidole zinaweza kubadilika kiasi cha kuathiri utambuzi.
︎ Teknolojia

💨Fingerprint sensor – Kwa nini haifanyi kazi vizuri wakati mwingine? 🔒📱

Kuna muda unagusa fingerprint ya simu yako mara 3, mara 4... bado haifunguki!
Wakati mwingine inasema "try again later" au "not recognized".

Sasa, tatizo ni nini? Hebu tuzame kwenye sababu kuu 👇🏽
5. Sensor yenyewe ina tatizo la software au hardware

Kuna wakati fingerprint sensor inaweza kuwa na bug, au imeharibika.

Mara nyingi huonekana baada ya kuangusha simu au baada ya update isiyo kamili.
. Umeweka screen protector au case
inayoziba sehemu ya fingerprint

Baadhi ya screen protectors au cases zinaweza kuathiri uwezo wa sensor kufanya kazi, hasa kama sensor ipo juu ya screen (in-display sensor).
6. Simu haijafanya update muhimu
Firmware updates huja na maboresho ya fingerprint recognition.
Ukiwa na toleo la zamani, unaweza kupata matatizo haya mara kwa mara.
1. Vidole vikavu sana au vyenye mafuta

Kidole kikavu kupita kiasi (dry skin) au chenye mafuta/hali ya unyevunyevu, kinaathiri uwezo wa sensor kusoma alama.
︎ Teknolojia

💨 BRAND NEW 💥

▪️Samsung A55 5G (8+256) - 950K
▪️Samsung A56 5G (8+256) - 1.1M

📍KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨Muonekano wa Samsung Z flip 7 na fold 7 utakavyokuwa upande wa camera
👇👇
︎ Teknolojia

💨Hapa ikiingia bongo tambo lipi utaruka nalo
Poco F7🔥
︎ Teknolojia

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
@Huduma

Nothing 3(a). Vs. Nothing 3
︎ Teknolojia

💨Infinix hivi karibuni imezindua Hot 60i yenye Helio G81 Ultimate chip, na sasa imetangaza kuwa itazindua hivi karibuni Hot 60 5G+ ambayo itakuja na kipengele kipya kinachoitwa "One-Tap AI Button."

Picha iliyoshirikiwa na Infinix inaonyesha kuwa One-Tap AI Button itakuwa upande wa kulia wa Hot 60 5G+, chini ya volume rocker na power button. Infinix inasema hii ni "smart and seamless shortcut inayobadili kabisa namna mtumiaji anavyoingiliana na simu," na imesanifiwa mahsusi kwa ajili ya professi