👋 Free link
Hii ni feature ambayo inakusaidia kuweza kufanya mawasiliano kwenye eneo ambalo hakuna mtandao bila Bando utaweza kufanya mawasiliano mpaka umbali wa kilomita 2.

〽︎ Teknolojia
kwa kuwasiliana na uwapendao bila Bando kupitia Bluetooth utaweza kutuma ujumbe, kupokea au kupiga voice calls na kutuma sms.

𝗠𝗮𝗺𝗯𝗼 𝘆𝗮𝗹𝗶𝘆𝗼𝗳𝗶𝗰𝗵𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝘆𝗮 𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗶𝗻𝗮𝘀𝗵𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗮
Usichokijua kuhusu TECNO SPARK 40 na mambo yaliyofichwa ndani yake !!!
Kwa hii simu Tecno wametisha sana ✍️
Threads ni yako

😛 Water resistant
haijalishi unapiga simu kwenye Mvua unachati au kupiga picha mahali Kuna vumbi Kali, Mvua kubwa we enjoy TU hii simu haingizi maji kabisa ina IP 64 rating ambayo inakusaidia kuzuia vumbi na maji kuingia kwenye mfumo wa simu yako.
@Bongotech255

Kampuni ya TECNO imeachia matoleo matatu ya SPARK 40 Series;
✔ TECNO SPARK 40
✔ TECNO SPARK 40 PRO na
✔ TECNO SPARK 40 PRO +
TECNO wametisha kinoma noma leo nakuletea baadhi ya feature utakutana nazo kwenye toleo jipya.
Kama ifuatavyo 👇👇

@Huduma
💡 TECNO AI
Amekuja na Akili bandia anaitwa ELLA ambayo ina nguvu ya Deepseek, Gemini na chatGpt kwa kuweza kukusaidia na kurahisisha mawasiliano.
kwa kuediti picha zako, kubadili documents kuwa ujumbe, kurekebisha picha zako kwa kuondoa kitu usichokitaka.

🎁 Ili kusherehekea uzinduzi huo, kila ukinunua SPARK 40 Series unapata siku 180 za kustream Poaflix na warranty ya miaka miwili bure.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
💨 Mtu akikuazima simu yako umekwisha
WhatsApp walileta hii feature ili kuwasaidia watu wanaohitaji kujibiwa messages zao na watu waliowaunganishia linked devices.
Lakini siku hizi baadhi wanatumia upenyo huu kuingilia kwa siri mawasiliano ya wapenzi wao 👇

5. Simu zingine zenye AI Button 2025?
✅ Infinix HOT 60 5G+
✅ TECNO Camon 30 Premier
✅ Xiaomi Redmi AI Series
✅ Vivo V30 AI Focus Button
(List inaongezeka kila mwezi...)
✅ Infinix HOT 60 5G+
✅ TECNO Camon 30 Premier
✅ Xiaomi Redmi AI Series
✅ Vivo V30 AI Focus Button
(List inaongezeka kila mwezi...)
4. Kwa nini ni muhimu 2025?
➡️ Simu zimekuwa smart sana, apps zimejaa.
➡️ Watu hawataki kupoteza muda kufungua app moja moja.
➡️ AI button inarahisisha kila kitu kwa bonyeza moja tu.